Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
umeshikwa kunako sometime ni bora unyooshe mikono juu
Achana na ligi ....lete takimu za kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na ligi ....lete takimu za kimataifa
robo fainali moja tu mshaanza kutema mate mji mzimaYanga kashafika mbali zaidi ya Makolo.....
Always baba Hana Cha kujifunza Kwa mtoto[emoji23][emoji23]
Yanga ijifunze Kwa timu insyoshindwa hata kulenga goli[emoji32][emoji32]
🤣🤣🤣Atueleze ana master ya niniAlafu we jamaa ndio una Masters kweli wewe???🤣🤣🤣
Hii ni latin mkuu ...."Shoot" on target ama "shot" on target?
Mnaboa sana na kuharibu ladha ya lugha zetu za kimpira.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
At leastwalijaribu
Nisawa na mtoto wako apare 0% kwenye mtihani ......na mtoto wa jirani apate 49%
Ngoja tuone😊
Umerudia rudia mara nyingi shoot on target. SIO shoot, NI shotKolo na mpira dk 90 bila shoot on target
Wa libyaAsiyefunzwa na mamaye ( Yanga ) hufunzwa na ulimwengu( waarabu)
sawa mkuuTyping error