Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Halafu nyie Yanga nyie......basi tu ngoja niwaache kwa leo😎😎😎
 
Hahahaaa. Sema wewe mwaya.

Na wanakutanaga wanafanana kila kitu.

(Mniwie radhi watani zangu ninaowaheshimu)
Uje kuleee uniombe radhi kwa hili

Yaani na ubingwa wetu woote wa VPL bado unaleta maneno ya ukorofi na uchochezi!πŸ˜‘πŸ™πŸ˜‰
 
Ndo na mimi nilikuwa nashangaa hapa wakato ilishazinduliwa na watu kitambooo hahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…