Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Simba Yaweka Rekodi ya Dunia na Dreamliner

Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.

Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. 😂😂😂

Hebuu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Halafu nyie Yanga nyie......basi tu ngoja niwaache kwa leo😎😎😎
 
Hahahaaa. Sema wewe mwaya.

Na wanakutanaga wanafanana kila kitu.

(Mniwie radhi watani zangu ninaowaheshimu)
Uje kuleee uniombe radhi kwa hili

Yaani na ubingwa wetu woote wa VPL bado unaleta maneno ya ukorofi na uchochezi!😡🙁😉
 
Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.

Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. 😂😂😂

Hebuu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Ndo na mimi nilikuwa nashangaa hapa wakato ilishazinduliwa na watu kitambooo hahhaha
 
Back
Top Bottom