Simba yawekwa pot 3 kwenye draw ya CAF

Kila la kheri wamatopeni.

Wydad Casablanca
Zamalek
Paka Fc
Kaizer Chiefs
Hata iweje points 9 za nyumbani zipo Simba nakukumbusha tuu mwaka 2003 tulipangiwa

Enyimba
Ismailia
Simba
Asec Mimosa

Tuliondoka na points 7 tena refa alituua ismailia alifungwa goli halali na Emmanuel Gabriel batigoal mwakyusa ikaisha suluhu uwanja wa Uhuru kwa ufupi Simba wapo serious wakiwa nyumbani na wakiweka mipango wanaitimiza ya mwka juzi kishinda mechi zote nyumbani Ni mwendelezo tuu...UTO msije uwanjani tuu maana mtatia aibu Kama Jana mlivyokua mnateseka na ninashukuru uwanjani hamasa hamna maana hata 100 watu Jana hamkufika uwanjani
 
Samahani, Yanga yupo pot ngapi mkuu
Yanga anahusika na nini hapo? Subiri ukutane nae ama kwenye kombe la Mapinduzi au Ligi tutajua mbabe Ni nani? Kwa sababu msimu huu nao wamesema kombe lao ,muda utasema bingwa Ni nani ? Kwenye makundi siyo issue sana uwekezaji wa Mo lengo Ni kuchukua kombe .Tusubiri tuone muda utasema manake mbwembwe zimekuwa nyingi kana kwamba vile Ni Mara ya kwanza kwenda hatua ya makundi
 
Wewe ni Chikwende
 
unateseka ukiwa wapi?
 
Sasa kama hayupo hapo unatoa wapi ujasiri wa kuwaita waliongia club bingwa group stage vibonde? Unaweza nikumbusha mwaka gani we tangu umeanza kushabikia Yanga ambao sio vibonde waliingia group stage champions League?
 
Hapana mkuu, angalia record zako vizuri me hizi game niliangalia bana, horoya katolewa na Pyramid, ila club bingwa raja akatolewa na zamalek
Kweli mkuu nimekumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…