KWA sasa Horpya ni level ya juu na hao wengine wamemtoa Raja si wakuwadharau.Group C
Wydad
Horoya
Teunguth
Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA sasa Horpya ni level ya juu na hao wengine wamemtoa Raja si wakuwadharau.Group C
Wydad
Horoya
Teunguth
Simba
Hata iweje points 9 za nyumbani zipo Simba nakukumbusha tuu mwaka 2003 tulipangiwaKila la kheri wamatopeni.
Wydad Casablanca
Zamalek
Paka Fc
Kaizer Chiefs
Horoya ni semi finalist wa msimu uliopitaTimu zenye afadhali kupangwa nazo..
Al hilal sudan
Kaiser chiefs SA
Horoya
Mkuu kweli wewe mjingawewe[emoji16][emoji16][emoji16]MWAKA HUU SIMBA NDO BINGWA WA AFRICA.
OkHoroya ni semi finalist wa msimu uliopita
Ndio pot ya vibondeMbona pot 3 ina vibonde tu
Mkuu kweli wewe mjingawewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Wachezaji wa Platinum waliokutwa na Corona wamepimwa tena na kukutwa hawana CoronaHautaki" LALA NJAA MWAKA MZIMA"
Wachezaji wa Platinum waliokutwa na Corona wamepimwa tena na kukutwa hawana Corona
Hongera kwa Prof Janabi mjingamimi
Unaongelea shirikisho na sio club bingwa, ila still jamaa ni wazuri sana kwa sasa hiviHoroya ni semi finalist wa msimu uliopita
Samahani, Yanga yupo pot ngapi mkuuNdio pot ya vibonde
Yanga anahusika na nini hapo? Subiri ukutane nae ama kwenye kombe la Mapinduzi au Ligi tutajua mbabe Ni nani? Kwa sababu msimu huu nao wamesema kombe lao ,muda utasema bingwa Ni nani ? Kwenye makundi siyo issue sana uwekezaji wa Mo lengo Ni kuchukua kombe .Tusubiri tuone muda utasema manake mbwembwe zimekuwa nyingi kana kwamba vile Ni Mara ya kwanza kwenda hatua ya makundiSamahani, Yanga yupo pot ngapi mkuu
Wewe ni ChikwendeYanga anahusika na nini hapo? Subiri ukutane nae ama kwenye kombe la Mapinduzi au Ligi tutajua mbabe Ni nani? Kwa sababu msimu huu nao wamesema kombe lao ,muda utasema bingwa Ni nani ? Kwenye makundi siyo issue sana uwekezaji wa Mo lengo Ni kuchukua kombe .Tusubiri tuone muda utasema manake mbwembwe zimekuwa nyingi kana kwamba vile Ni Mara ya kwanza kwenda hatua ya makundi
Club bingwa mwaka Jana Horoya Vs Raja Casablanca semi finalUnaongelea shirikisho na sio club bingwa, ila still jamaa ni wazuri sana kwa sasa hivi
unateseka ukiwa wapi?Yanga anahusika na nini hapo? Subiri ukutane nae ama kwenye kombe la Mapinduzi au Ligi tutajua mbabe Ni nani? Kwa sababu msimu huu nao wamesema kombe lao ,muda utasema bingwa Ni nani ? Kwenye makundi siyo issue sana uwekezaji wa Mo lengo Ni kuchukua kombe .Tusubiri tuone muda utasema manake mbwembwe zimekuwa nyingi kana kwamba vile Ni Mara ya kwanza kwenda hatua ya makundi
Hapana semi finals CCL zilikuwaClub bingwa mwaka Jana Horoya Vs Raja Casablanca semi final
Hapana mkuu, angalia record zako vizuri me hizi game niliangalia bana, horoya katolewa na Pyramid, ila club bingwa raja akatolewa na zamalekClub bingwa mwaka Jana Horoya Vs Raja Casablanca semi final
Uko sahihi mkuu, jamaa anachanganya mafaili, horoya aliingia nusu fainali kombe la shirikisho akapigwa na PyramidHapana semi finals CCL zilikuwa
1) Raja Casablanca vs Zamalek
2) Wydad Casablanca vs Al Ahly
Horoyo AC mwaka jana haikuingia makundi CCL bali iliingia makundi ya Caf Confederation Cup
Sasa kama hayupo hapo unatoa wapi ujasiri wa kuwaita waliongia club bingwa group stage vibonde? Unaweza nikumbusha mwaka gani we tangu umeanza kushabikia Yanga ambao sio vibonde waliingia group stage champions League?Yanga anahusika na nini hapo? Subiri ukutane nae ama kwenye kombe la Mapinduzi au Ligi tutajua mbabe Ni nani? Kwa sababu msimu huu nao wamesema kombe lao ,muda utasema bingwa Ni nani ? Kwenye makundi siyo issue sana uwekezaji wa Mo lengo Ni kuchukua kombe .Tusubiri tuone muda utasema manake mbwembwe zimekuwa nyingi kana kwamba vile Ni Mara ya kwanza kwenda hatua ya makundi
Kweli mkuu nimekumbukaHapana mkuu, angalia record zako vizuri me hizi game niliangalia bana, horoya katolewa na Pyramid, ila club bingwa raja akatolewa na zamalek