Simba yazindua Simba App

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
43,973
Reaction score
150,463
Mkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform.

Inaelezwa kuwa kupitia App hii utapata
Matokeo ya mechi
Taarifa mbalimbali za club
Usajili
Mechi live hii wanaanza na hii ya leo
na mengineyo mengi ....

Utailipia buku mbili kwa mwezi.
 
safπŸ†•πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
babuuu babuuuuuuu

Haka kajamaa ndio kaliizindua hiyo APp ya Utopolo...



Ila Nasikia Uto wamempiga chini mzee wa watu na kumwajiri mzungu wa Kizaramo kuja kuendeleza Libeneke...



Sasa kuna kavita kamezuka baina ya hivi vindegeresi viwili, kila mmoja akitaka kuwa mkubwa kuliko Utopolo...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…