Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
This is SIMBAMkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform.
Inaelezwa kuwa kupitia App hii utapata
Matokeo ya mechi
Taarifa mbalimbali za club
Usajili
Mechi live hii wanaanza na hii ya leo
na mengineyo mengi ....
Utailipia buku mbili kwa mwezi.
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app