simba

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,876
Reaction score
10,513
Jamaa alikutana na simba porini, kwa woga akapiga magoti akafumba macho akasali, alipofumbua macho akakuta simba amepiga magoti anasali, jamaa akauliza "na wewe kumbe una dini? simba akajibu "wewe ----- ina maana huko kwenu hamsali kabla ya kula?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…