SIMBAAAAAAAAAA

SIMBAAAAAAAAAA

perfect_rahym

Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
41
Reaction score
45
a0e14946fb928a6b568e6839f4e3d377.jpg

Ngurumo zake ni zaidi ya Ngurumo zote uzijuazo wewe duniani swala kajipendekeza tumetafunaaaa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu umenifurahisha sana...huyu mnyama ni hatareee sanaaaa, matokeo kama haya huwa yanafanywa na timu chache sana ulimwenguni, viva mnyamaaaaaaaa
 
Mnaweza kuzitafuna mbao tu, miwa hadi FFT waikatekate na kuiweka mezani.
Mnaweza kushindwa kuila Alhamisi pia.
 
Nasikia Leo wamekoswa kuzamishwa kule ziwan baada ya kufukuzwa na Walinz kule kagera kwenye mashamba ya miwa
 
Back
Top Bottom