Bunge la Wananchi
Member
- Jan 30, 2023
- 74
- 80
Eti Gwajima, aliahidi kufufua misukule , akashindwa kumfufua Mwendazake.WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Gwajima awe Rais wa nani? Mbona mnadhalilisha nafasi hiyo nyeti jamani. Hili jamaa si ndiyo linatapeli watu kwa kujifanya linafufua wafu wakati ni mzinzi tu anayewaingilia waumini wake.WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Aliyewayaja tumemchongo auuu?WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Sio Kila kitu kinahitaji uwekompitentiiii....Simbachawene hata uwaziri sijui huwa anaupataje huwa namuona yuko incompetent, hana haiba ya uongozi kabisa
SAMIA BUSHIRI BIN KIBUSHURUSHUTI HAKUBALIKI HATA NA NZI WA KIJANI WA CHOONI...OVERKwani chama si kimesimamisha wagombea tayari au zilikuwa propaganda ๐
Mzee wa mkono wa baunsaGwajima awe Rais wa nani? Mbona mnadhalilisha nafasi hiyo nyeti jamani. Hili jamaa si ndiyo linatapeli watu kwa kujifanya linafufua wafu wakati ni mzinzi tu anayewaingilia waumini wake.
View: https://youtu.be/56MzCkuQfig?si=VoIVBGZqp9Hl6l3a
Kuna watu wana bahati zao hapa duniani,Simbachawene hata uwaziri sijui huwa anaupataje huwa namuona yuko incompetent, hana haiba ya uongozi kabisa