Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025

Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025

Hii kitu niliisikia kwa jamaa mmoja mwezi uliopita kuhusu hazma ya Gwajboy na Urais, ila sikuweza kupinga wala kukubali.
Leo nimeikuta hapa tena?
Kama haukuweza kupinga kitu cha kipuuzi kama hiki basi na wewe ni hauna akili kama hao uliosikiaa kwao.
 
WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.

Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Hakuna wabunge waoga kama hao wa ccm. Wote hao hutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Walimuingiza Lowasaa mjini uchaguzi wa 2015 kuwa wataenda naye upinzani. Hakuna aliyedhubutu.
 
Yaani jitu linalotapeli wenye matatizo (frustrated people) na kujipatia hela eti ndiyo liwe Rais la Tz?? Watu wana mizaha sana
Kwa nchi hii ya wajinga na wapumbaf, lolote linawezekana kabisa.

Nchi za werevu, baada ya video yake ya uzinzi kuvuja, kumuona akipewa uongozi wa umma na bado akiendelea kupotosha watu hiyo ni laana na ni unajisi.
 
"""Hakuna kitu kama hicho, chama kimeshasimamisha mgombea wake tayari, siku hizi watu wakikuchukia na wakitaka kukugombanisha na mamlaka hukutungia uzushi wa aina hiyo ili kukugombanisha Tuwe makini sana "" ""
I CALL THIS A RUBISH, WAR MONGER!
 
"""Hakuna kitu kama hicho, chama kimeshasimamisha mgombea wake tayari, siku hizi watu wakikuchukia na wakitaka kukugombanisha na mamlaka hukutungia uzushi wa aina hiyo ili kukugombanisha Tuwe makini sana "" ""
I CALL THIS A RUBISH, WAR MONGER!
Wanasema ule mchakato wa kumpitisha kinyemela Hangaya kuwa mgombea ulikiuka Katiba ya CCM
 
Kassim Majaliwa, Mungu akutunze kwaajili yetu watz.
 
Back
Top Bottom