Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Wanachafuana tu. Hata hivyo Simbachewene siyo mtu mwenye tamaa ya madaraka kihivyo kama akina JanuariKwani vipi Samia hatakiwi tena huko Mbogamboga? Simbachawene mwanangu sana lakini kwa Urais hatoshi.