mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Simbachawene na Gwajima wa Chama gani unaowazungumzia??