Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Yeah, January anayazidi kwa mbali sana hayo maandazi!January tena ..?
Yeah, January anayazidi kwa mbali sana hayo maandazi!January tena ..?
Na mwaka huu mkuu ng'wanangwa unaishia kura 1 tena!Mimi ya 2025 niliyasema,
P
Kauli huumba!, asante kwa kuniumbia kura moko!.Na mwaka huu mkuu ng'wanangwa unaishia kura 1 tena!
Kimesha simamisha mgombea 1,sio wagombeaKwani chama si kimesimamisha wagombea tayari au zilikuwa propaganda 😂
Wewe nimekulewa sana!wapanga miiba barabarani Ili mwenyekupita ashindwe apite mwingine!!Kuna shoti inapigishwa Ili upatikane Moto🔥🔥🔥 wakuchemsha haya Maji.....yaliyoanza kuchemshwa yakaipuliwa hayakuchemka vizuri.
Hizi kete zinapangwa kimya kimya na kutafsiriwa kimya.
Bungo litatemwa ila Nani atalimeza Baada ya kutemwa.
Waliokuwa jikoni wanayajua vizuri.
Ila Kaka Paskali Mayalla ndio Mtaalamu WA kuwa mbele ya muda, anasemaje nae🙌🏾🙌🏾🙌🏾
MwaMzee wa mkono wa baunsa
na ngono uzembe uno mbili tu chali
Mimi naona huyu aliyebaka mtoto akamatwe ahukumiwe kifo ili iwe funzo kwa watu wengine wenye tabia kaza zakeWe unaonaje?
Kaongea nini?Mzee Wa Msoga huwa anaongea Kwa Code kali sana, Nimemskia Leo Msoga akichagiza Yajayo yanafurahisha, Watanganyika Bana
Kwani hauna habari ya meza kupinduliwa?Kwani chama si kimesimamisha wagombea tayari au zilikuwa propaganda 😂
Humjui vizuri GwajimaGwajima. Labda uRais wa manzese
Gwajiboy alikamatwa na kuswekwa lupango na akabambikiziwa kuuza ngada na yule nyamitako BashitePengo alikipata aisee sijui hili battle na gwaj boy liliishiaje
Inawezekana TANZANIA ikawa nchi yenye vichaa wengi au wajinga wengi. Hao wagombea watapitishwa na vikao gani vya chama sasa??WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao wanategemewa kuwaunga mkono kwenye safari hiyo.
Naomba link kama video ipo youtubeMzee Wa Msoga huwa anaongea Kwa Code kali sana, Nimemskia Leo Msoga akichagiza Yajayo yanafurahisha, Watanganyika Bana
AiseeeGwajiboy alikamatwa na kuswekwa lupango na akabambikiziwa kuuza ngada na yule nyamitako Bashite
Msikilize kwa makini hapa Mzee wa Msoga kuhusu kugombea urais
View: https://youtu.be/pwO3503hy2I?si=UgguewPUBHMtbZ_E
Anajitoa ufahamu Gwajima anaweza kuwa bora kuliko Kizimkazi!Gwajiboy na huyo ajuza wenu wanatofauti gani? Bongo Kenge yoyote anaweza kuwa rais, mijitu inabiruzwa, haijitambui na ipoipo tu kama mizoba.
anaweza hajaombwa badoEti Gwajima, aliahidi kufufua misukule , akashindwa kumfufua Mwendazake.
Halafu ndio aifufue nchi?
Subutu!