Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025

Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025

WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Hadi 'mzee wa fix' awe raisi! kweli nchi ya wenda wazimu hii😀
 
Hvi huyu mama bana yani bora tuongozwe na maandazi kuliko mama huyu ambae hana vision kbsa..
Urais upate kwa bahati mbaya alafu utake kutusumbua hapa mtekaji wewe daah aisee..Imetosha bwana tuachie Tanganyika yetu kunogewa tu na mwanao Abduli
Ni vision gani uliitaka kwa Rais kuzidi aliyofanya?
 
Siasa bhanaa, Gwajima akiwa kijani anaonekana mwehu tapeli flan hv ajabu akienda upinzani tuu anakua shujaa sifa mapambio ya kutosha
 
Simbachawene ana utulivu zaidi kuliko Gwajiboy. Simbachawene nampa kura yangu.
 
Back
Top Bottom