Simbachawene ni presidential material, atunzwe na alindwe kwa wivu mkubwa

Okk

Senior Member
Joined
Dec 29, 2024
Posts
171
Reaction score
422
Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu.

Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu.

Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na bado watu wakakuelewa.

Najua kwenye ligi ya uPM majina yalibaki mawili ukazidiwa kete na bwana yule, lakini jua fika njia yako ni nyeupe sasa.

Watasema ooh labda umewekwa kwenye wizara hiyo ili uchafuke, lakini tuwakumbushe hata namba mbili wa sasa aliwahi kuwa wizara hiyo hiyo na sasa yupo hapo alipo.

Usitengeneze makundi, usigawe wananchi, sikiliza sana kuliko kuongea kama ilivyokawaida yako.

Tunakufahamu uliwahi kua mpaka kondakta katika harakati za utafutaji lakini hukukata tamaa mpaka leo uko hapo, pokea maua yako ukiwa hai.

Mimi ni mfuasi wako namba moja, najua nina access nawe, kuna siku isiyo na jina nitakushuhudia hili.

Hongera sana kiongozi🙏
 
Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu.
Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu.
Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na bado watu wakakuelewa.
Najua kwenye ligi ya uPM majina yalibaki mawili ukazidiwa kete na bwana yule, lakini jua fika njia yako ni nyeupe sasa.
Watasema ooh labda umewekwa kwenye wizara hiyo ili uchafuke, lakini tuwakumbushe hata namba mbili wa sasa aliwahi kua wizara hiyo hiyo na sasa yupo hapo alipo.
usitengeneze makundi, usigawe wananchi, sikiliza sana kuliko kuongea kama ilivyokawaida yako.

Tunakufahamu uliwahi kua mpaka kondakta katika harakati za utafutaji lakini hukukata tamaa mpaka leo uko hapo, pokea maua yako ukiwa hai.
Mimi ni mfuasi wako namba moja, najua nina access nawe, kuna siku isiyo na jina nitakushuhudia hili.

Hongera sana kiongozi🙏
Mtamponza
 
Hamna kitu kabisa mle, yule si ndiyo analitoto teja likatishia kumnasa makofi traffic polisi mbele ya camera!?

CCM nzima hakuna asiyenuka kinyesi cha mtu!! Wote hawafai
Toto lake litakuwa Abdul wa pili
 
Ni lijitu la hovyo kisilo jitambua
Ama kweli mkimaliza vita vs wapinzani hurudi katika vita ya wenyewe kwa wenyewe. Kwa kauli yako maanake hata nyie chama cha wauji Tanzania mmegawanyika kuna nyie wakina Lucha ambapo mnaishi kwa kufuata misimamo ya muuaji mkuu Tanzania pekee.
 
Sijawahi kuwa mwanachama wa majizi ya Ccm , wala sijawahi kuwa upande wenu nyumbu
 
Ni lijitu la hovyo kisilo jitambua
markup_1000203681.png
 
SISIEMU wote ni WAHUNI ,ukiwa humo hauwezi kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya maelekezo kwa aliyekupa hiyo nafasi ,si umeona SAMUYA anaongozwa kutoka Mbele ya chalinze then unakula KULIA kabla ya UBENA ZOMOZI.
 
Back
Top Bottom