MtamponzaUkitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu.
Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu.
Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na bado watu wakakuelewa.
Najua kwenye ligi ya uPM majina yalibaki mawili ukazidiwa kete na bwana yule, lakini jua fika njia yako ni nyeupe sasa.
Watasema ooh labda umewekwa kwenye wizara hiyo ili uchafuke, lakini tuwakumbushe hata namba mbili wa sasa aliwahi kua wizara hiyo hiyo na sasa yupo hapo alipo.
usitengeneze makundi, usigawe wananchi, sikiliza sana kuliko kuongea kama ilivyokawaida yako.
Tunakufahamu uliwahi kua mpaka kondakta katika harakati za utafutaji lakini hukukata tamaa mpaka leo uko hapo, pokea maua yako ukiwa hai.
Mimi ni mfuasi wako namba moja, najua nina access nawe, kuna siku isiyo na jina nitakushuhudia hili.
Hongera sana kiongozi🙏
toa ujinga wako hapaNi mkatoliki?
Toto lake litakuwa Abdul wa piliHamna kitu kabisa mle, yule si ndiyo analitoto teja likatishia kumnasa makofi traffic polisi mbele ya camera!?
CCM nzima hakuna asiyenuka kinyesi cha mtu!! Wote hawafai
Dhambi za mtoto zinamhusu nini baba!?Hamna kitu kabisa mle, yule si ndiyo analitoto teja likatishia kumnasa makofi traffic polisi mbele ya camera!?
CCM nzima hakuna asiyenuka kinyesi cha mtu!! Wote hawafai
Ama kweli mkimaliza vita vs wapinzani hurudi katika vita ya wenyewe kwa wenyewe. Kwa kauli yako maanake hata nyie chama cha wauji Tanzania mmegawanyika kuna nyie wakina Lucha ambapo mnaishi kwa kufuata misimamo ya muuaji mkuu Tanzania pekee.Ni lijitu la hovyo kisilo jitambua
Swali la msingi. Kama sio mkatoliki hatoboi. Amuulize lowasaNi mkatoliki?
Sijawahi kuwa mwanachama wa majizi ya Ccm , wala sijawahi kuwa upande wenu nyumbuAma kweli mkimaliza vita vs wapinzani hurudi katika vita ya wenyewe kwa wenyewe. Kwa kauli yako maanake hata nyie chama cha wauji Tanzania mmegawanyika kuna nyie wakina Lucha ambapo mnaishi kwa kufuata misimamo ya muuaji mkuu Tanzania pekee.
Ni lijitu la hovyo kisilo jitambua
Na mzee malecelaSwali la msingi. Kama sio mkatoliki hatoboi. Amuulize lowasa
hakuna kitu kama hicho,Mtamponza