Simbachawene ni presidential material, atunzwe na alindwe kwa wivu mkubwa

Kwa tulipofikia kwanza ni katiba itakayowekalevel playing field kwwnye uchaguzi.

Baada ya hapo CCM mnaweza weka mgombea yeyote kutoka kwenye kapu lenu la majizi.

Yote haya ni katiba ndio kunakowafanya kila mtu huko CCM ni presidential material.

I never thought a day will come and concede mara mia ata Lissu kuliko yeyote ndani ya CCM.
 
Mzee ana Akili sana.
Sio wale masauni na bashungwa yaliwashinda.hata kutoa kauli kama waziri HAWAWEZI.
 
CCM kile chuo Chao cha Uongozi nadhani kina Jina la Mwalimu sijui kama bado kipo maana viongozi tunaoletewa ni hatari sana..
 
Najua kwenye ligi ya uPM majina yalibaki mawili ukazidiwa kete na bwana yule, lakini jua fika njia yako ni nyeupe sasa.
Alikua na mtu mwingine kabisaa... Bwana huyu aliibuka usiku wa kuamkia tangazo kwa makusudi kabisaaa.
 
Ama kweli mkimaliza vita vs wapinzani hurudi katika vita ya wenyewe kwa wenyewe. Kwa kauli yako maanake hata nyie chama cha wauji Tanzania mmegawanyika kuna nyie wakina Lucha ambapo mnaishi kwa kufuata misimamo ya muuaji mkuu Tanzania pekee.
Anahatarisha mipango ya genge la wanyang'anyi. Fikiria kwa mlengo huo
 
Chawene ndio anaweza kuwa rais mzuri ila sio chini ccm, ccm ni shamba la kufanya watu wenye hekima busara kuwa mazezeta
 
Kwa hiyo, mapambano yote yale, mateso yote yale, kudhalilishwa kote kule, damu yote ile iliyomwagika, suala kubwa lilikuwa TU ni kumuondoa Samia SH na kumpata "MTU BORA" ndani ya CCM wa kuwa Rais badala yake?

Yaani tatizo kubwa lilikuwa ni Samia TU? Kwamba Samia akiachia uRais tu, problem solved? Inabakia kutafuta presidential material wa kumbadili? Ok.
 
Wametengeneza system robust si rahisi kupenya!!!
===
Asubuhi njema
 
Tumempitisha sana ,jamaa mipango yake inaenda kama alivyopanga..Mtu makini sana.
 
nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…