Simbachawene ni presidential material, atunzwe na alindwe kwa wivu mkubwa

Pambania kubadilisha mifumo na kuwa na Taasisi zenye Uwazi; kamwe usimwamini Mwanasiasa ukizingati Power Corrupts; na ni rahisi sana kuongelea mazuri after the fact ingawa inachukua ujasiri kushinikiza walioharibu hapo nyuma wawajibishwe.....

Anyway Busara na Hekima ni muhimu sana, jambo ambalo watawala hawa waliopo sasa wameshindwa kufuata msemo wa wahenga; Kujua kula na Vipofu
 
Reactions: Okk
Yaah,
Nimeliona Hilo Jana nikasema huyu alifaa awe prime minister ni zaidi ya MWIGULU.

Anamalezii mazuri hata akiongea yupo real sana
 
Umeeleweka "nina access nawe",piga ramli akitoboa labda atakukumbuka.
Naomba kuuliza swali wewe material yako unafit kwenye position ipi?
 
Umeeleweka "nina access nawe",piga ramli akitoboa labda atakukumbuka.
Naomba kuuliza swali wewe material yako unafit kwenye position ipi?
roho mbaya tu inakusumbua, kila mwanadamu kwenye ulimwengu huu ana watu wake wa karibu, na watu wanaomkubali, si ajabu hata kiongozi wa serikali kama mwanadamu kuwa na watu wake wa karibu, ama watu wanaomkubali

Ukipunguza chuki kwa watu usiowajua, utafika mbali😀
 
Watanzania mwaka wa 20 sasa tunajiongoza wenyewe.
 
Tabia za kimalaya malaya ndio hizi sasa..wew c kondoo wa CCM na samuya ama ?..au tangu ufanye utapeli wako wa posho kanisani kwa kakobe akili haijakaa sawaa?
Huyo dogo ni ***** namjua sana tangu yupo fb
 
Ana roho ya kunguni kama mzee wa tozo...
 
😂
Hiyo chuki/roho mbaya umeipima na kipimo gani?
Kama ni kumsifia huyo mtu hakukua na sababu ya kutaja kama una access naye kwa mtu mwenye akili timamu uzi wako umelenga kujikomba kwake ukihisi ni "potential" baadae akufae .
Hizi ni dalili za uchawa kaza buti nawe ushobokewe si kusifia wenzako mitandaoni.
 
Kwa mfumo na katiba tuliyonayo hakuna anayefaa kuwa rais.
 
Utumbo mtupu
 
Mtamponza huyo Mzee hata kwenye huo Uwaziri.

CCM hawawezi mpa cheo kikubwa hivyo mtu mwenye akili Timamu
 
Naona lion chawene unajipigia assist mwenyewe mweshimiwa🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…