Simbachawene: Ripoti zinaonesha zaidi ya 40% ya Watumishi wa Umma Tanzania hawafanyi kazi

Ambae haugui ni robot tuu waweke hao tuone 😁😁
 
Certificate ndio nn? Sina certificate ,sasa kwa akili yako ndogo hao wanaeonda kusoma hata maprofessor wako wana athari gani positive?
Wanatafuta GREEN PASTURE kaa kwa kutulia kula kwa urefu wa kamba yako.

📌📌Kama kamba yako ni fupi pambana.Acha visirani!!!
 
Wanatafuta GREEN PASTURE kaa kwa kutulia kula kwa urefu wa kamba yako.

📌📌Kama kamba yako ni fupi pambana.Acha visirani!!!
Hata huelewi nn kinaongelewa ndiyo yale anayozungumzia Simbachamwene 😀 😀
 
Kuna salary slip moja ya NO niliiona aisee.
From basic ya 1.2 mpaka take home ya 666k.
Hata ningekuwa nipo kwa ajila huo mzigo sudhani kama unafanya kazi kwa Moyo.
 
simbachawene mwenyewe hakuna kitu, taarifa inamuhusu
 
Enzi za tumbua tumbua ziliwafanya wafanyakazi wote wa umma wafanye kazi kwa weledi,sasa hivi mwajiri analalamika eti wafanyakazi wake hawafanyi kazi ipasavyo, so what,tufanye nini wananchi wa kawaida?
 
Kuna salary slip moja ya NO niliiona aisee.
From basic ya 1.2 mpaka take home ya 666k.
Hata ningekuwa nipo kwa ajila huo mzigo sudhani kama unafanya kazi kwa Moyo.
Ukikuta limtu linatoa lawama as if yeye angepewa hiyo kazi angefanya kwa moyo wote.Most people wapo kwenye hizi kazi for SURVIVAL!!!

Mitanzania imejaa unafiki.Ukijumlisha na sifa za kijinga wanazopewa na wanasiasa basi mibichwa intuna ikifika ofisi za watu inaanza kujitambulisha oohhh mimi mwananchi mara mimi mpiga kura😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…