Simbachawene: Serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa dini

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari kusikiliza na kujifunza ili taifa liendelee kuwa na amani umoja na mshikamano

Ametoa kauli hiyo leo wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya Ubarikio wa Uchungaji ambapo jumla ya mashemasi watano wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania wamebarikiwa kuingia katika Huduma ya Kichungaji huku Askofu wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe,Askofu Dkt. Benson Bagonza akisisitiza misingi mitano ya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea oktoba 29 mwaka huu.
 
Huyo bagonza anasisitiza kama nani,hiyo misingi anaitoa yeye kama nani?
 
maneno mengi bila msamiati wa 'haki' ni kupiga tu porojo.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari kusikiliza na kujifunza ili taifa liendelee kuwa na amani umoja na mshikamano

Ametoa kauli hiyo leo wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya Ubarikio wa Uchungaji ambapo jumla ya mashemasi watano wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania wamebarikiwa kuingia katika Huduma ya Kichungaji huku Askofu wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe,Askofu Dkt. Benson Bagonza akisisitiza misingi mitano ya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea oktoba 29 mwaka huu.
Wakiisemea vizuri lakini bila kuikosoa
 
Nyumba za machawa,wajumbe,wenyeviti wa mtaa , familia za madiwani na Police zipo kwenye mtaa yetu zitembelewe na kusalimiwa zarau itaisha D24/D25 nitatoka
 
Huyo kiazi ni waziri wa mambo ya chumbani

wakina mafwele na genge la bi chura wanamkalisha daily

na operation yao kamata kamata.
 
Simbachawene ni mpiga porojo kama wapiga porojo wengine.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari kusikiliza na kujifunza ili taifa liendelee kuwa na amani umoja na mshikamano

Ametoa kauli hiyo leo wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya Ubarikio wa Uchungaji ambapo jumla ya mashemasi watano wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania wamebarikiwa kuingia katika Huduma ya Kichungaji huku Askofu wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe,Askofu Dkt. Benson Bagonza akisisitiza misingi mitano ya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea oktoba 29 mwaka huu.
Chawene (mgogo kwa kuzaliwa ) anajitambua ila sasa waliomzunguka ni vlaza wa kutupa
 
Nyumba za machawa,wajumbe,wenyeviti wa mtaa , familia za madiwani na Police zipo kwenye mtaa yetu zitembelewe na kusalimiwa zarau itaisha D24/D25 nitatoka
Jaribuni muone ....mtakufa vibaya Sana na hawataona hata ukucha wa mwili wako.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari kusikiliza na kujifunza ili taifa liendelee kuwa na amani umoja na mshikamano

Ametoa kauli hiyo leo wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya Ubarikio wa Uchungaji ambapo jumla ya mashemasi watano wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania wamebarikiwa kuingia katika Huduma ya Kichungaji huku Askofu wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe,Askofu Dkt. Benson Bagonza akisisitiza misingi mitano ya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea oktoba 29 mwaka huu.
kalikawe, kwachima na kitima ni wazinifu waliojificha madhabahuni,
hakuna haja ya kuthamini michango ya hao mafuska wa kuharibu ndoa na watoto wa waamini wao kingono:NoGodNo:
 
Back
Top Bottom