The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Huyo bagonza anasisitiza kama nani,hiyo misingi anaitoa yeye kama nani?
Wakiisemea vizuri lakini bila kuikosoaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari kusikiliza na kujifunza ili taifa liendelee kuwa na amani umoja na mshikamano
Ametoa kauli hiyo leo wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya Ubarikio wa Uchungaji ambapo jumla ya mashemasi watano wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania wamebarikiwa kuingia katika Huduma ya Kichungaji huku Askofu wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe,Askofu Dkt. Benson Bagonza akisisitiza misingi mitano ya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea oktoba 29 mwaka huu.
kama mtanzaniaHuyo bagonza anasisitiza kama nani,hiyo misingi anaitoa yeye kama nani?
Huyo bagonza anasisitiza kama nani,hiyo misingi anaitoa yeye kama nani?
Chawene (mgogo kwa kuzaliwa ) anajitambua ila sasa waliomzunguka ni vlaza wa kutupaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari kusikiliza na kujifunza ili taifa liendelee kuwa na amani umoja na mshikamano
Ametoa kauli hiyo leo wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya Ubarikio wa Uchungaji ambapo jumla ya mashemasi watano wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania wamebarikiwa kuingia katika Huduma ya Kichungaji huku Askofu wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe,Askofu Dkt. Benson Bagonza akisisitiza misingi mitano ya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea oktoba 29 mwaka huu.
Jaribuni muone ....mtakufa vibaya Sana na hawataona hata ukucha wa mwili wako.Nyumba za machawa,wajumbe,wenyeviti wa mtaa , familia za madiwani na Police zipo kwenye mtaa yetu zitembelewe na kusalimiwa zarau itaisha D24/D25 nitatoka
Kama Mtanzania.Huyo bagonza anasisitiza kama nani,hiyo misingi anaitoa yeye kama nani?
Huenda wamegundua pale kuna Tv tu ndiyo imewekwa. Rimoti yake iko Msoga.Sasa mbona Simbachawene anapingana na kigagula??
kalikawe, kwachima na kitima ni wazinifu waliojificha madhabahuni,Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari kusikiliza na kujifunza ili taifa liendelee kuwa na amani umoja na mshikamano
Ametoa kauli hiyo leo wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya Ubarikio wa Uchungaji ambapo jumla ya mashemasi watano wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania wamebarikiwa kuingia katika Huduma ya Kichungaji huku Askofu wa Kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe,Askofu Dkt. Benson Bagonza akisisitiza misingi mitano ya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea oktoba 29 mwaka huu.
Exactly mkuu.Simbachawene ni mpiga porojo kama wapiga porojo wengine.
Anasisitiza kama raia, kwani watu wa upande wa Tanganyika hawana haki hiyo ya kikatiba au Abdul kaagiza asisijilizwe?Huyo bagonza anasisitiza kama nani,hiyo misingi anaitoa yeye kama nani?