johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata mchungaji Msigwa itabidi aende shule!Mshenga Gwajima ana PhD
Lusekelo itabidi akaitafute shahada,
Kama tulivyowasahau Kigwa na Kangi!baada ya wiki kila kitu kitasahaulika na mambo yataendelea kama kawaida, ni suala la muda tu
Wale waganga wa Kigwa ni wataalamu kweli kweli.Kama tulivyowasahau Kigwa na Kangi!
Lusekelo ana shahada ya UdsmMshenga Gwajima ana PhD
Lusekelo itabidi akaitafute shahada,
Hahahaaaa....... Wamefungulia upepo wa kisulisuli ni shida kila kona!Wake waganga wa Kigwa ni wataalamu kweli kweli.
Ya Teolojia?Lusekelo ana shahada ya Udsm
Ni ya Theology? Ndicho anachomaanisha Simbachawene.Lusekelo ana shahada ya Udsm
UKO SAHIHIShida sio Elimu, wote wanaweza Kuwa na Elimu na wakaharibu, Mwamposa hana Elimu?
Walikuwa wapi siku zote eti Masanja nae Pastor[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.
Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.
Source Clouds tv!
Itabidi akaitsfute shahada!Walikuwa wapi siku zote eti Masanja nae Pastor[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya uhandisiYa Teolojia?