Jamaa una akili sana.baada ya wiki kila kitu kitasahaulika na mambo yataendelea kama kawaida, ni suala la muda tu
Shahada hapa bongo haitasaidia.kwa sababu vyuo vyetu vimegawa shahada kama njugu, tuna watu wengi mtaani wengine wazururaji tu na hata akili haziwatoshi lakini wana shahada wengine hadi masters! Tuna matapeli wenye shahada. Tunao hadi vibaka wenye shahada. Kwa kifupi shahada siyo suluhisho la tatizo hili.Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.
Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.
Source Clouds tv!
Mbona kagame kawezaView attachment 1345092
imani isikie tu haina cha mkubwa au mdogo msomi,tajiri au maskini au la.Simbachawene awe makini kwenye hilo
Tunaelekea uchaguzi mkuu Simbachawebe achunge mdomo wakeI think its a perfect elimination solution
Kaweza Nini nchi Ina watu wangapi? Kule Kagame hahojiwi hapa tutahojiana Hadi kieleweke .Huwezi amka tu ukaja na kitu Cha upande mmoja kaulize hata kagame kama kathubutu kugusa Waislamu kuwa Wawe na digrii .Ngoma nzito kaikimbia na ubabe na ujanja wake wote
Kulazimisha watu wawe na shahada za teolojia ni kuingilia uhuru wa kuabudu kwa sababu vyuo vinavyotoa shahada hizo vinaweza kuwa na mrengo wa imani unaopingana na imani ya huyu mhusika unayetaka awe na shahada.Ni ya Theology? Ndicho anachomaanisha Simbachawene.
Hapana bhanna! Huyu sio Wasira huyu? Mbona kipara na chogo havifanani na JDaktari JPM, habari bila picha hainogiView attachment 1344584
Kuna vyuo vinatoa degree za theologia viko huru. Hata Open University unasomaKulazimisha watu wawe na shahada za teolojia ni kuingilia uhuru wa kuabudu kwa sababu vyuo vinavyotoa shahada hizo vinaweza kuwa na mrengo wa imani unaopingana na imani ya huyu mhusika unayetaka awe na shahada.
Kwa mfano ukitaka mchungaji awe na shahada ya teolojia, unamaanisha akaisomee wapi: Makumira? Kipalapala? Hivi vyuo ni vya waluteri na wakatoliki, wakati mhusika hakubaliani na mafundisho yao!
Waweke tu sheria ya nchi inayolinda raia wote, basi. Mengine waachie watu uhuru. Jinai ishughulikiwe kama jinai tu.
Mbona misikiti haihusiki kwenye sheria hiyo? Huo ni ubaguzi wa wazi dhidi ya wakiristu.Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.
Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.
Source Clouds tv!
Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.
Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.
Source Clouds tv!
Umesema kweli sana. Kuna matabaka katika makanisa pia kama ilivyo kwamba wa Gongolamboto ni tofauti na wa Masaki, kila tabaka lina watu wake linaowaelewa. Hawa tabaka la chini ndio hao wanaohangaika kwa manabii wa vibanda-umiza. Wa Mikocheni wako na Mama Lwakatare, sio kidini, company tu wapate pa ku-socialize, mama mwenyewe msanii mwanasiasa janjajanja. Makanisa makongwe kama RC na Lutheran wamejitahidi kuondoa matabaka kwa kusisitiza Jumuiya Ndogondogo ambako ndani ya jumuiya wote wanakuwa familia moja, lakini kwa kuwa jumuiya zimepangika kijiografia bado kuna jumuiya duni ambazo hata pa kukutana ni mtihani kama wa kule Mbagala, Keko Magurumbasi nk, na jumuiya tajiri kama za Oysterbay kwa viongozi. Bado kuna parokia fukara ingawa zinajitutumua kujenga majengo makubwa makubwa kwenye squatter areas. Matabaka ndiyo tatizo kubwa.atasoma nani akafanye kazi wapi.Makanisa vijijini hayana watu wala sadaka
hata haya makubwa YA DINI KUBWA unayoayaona yamefikia saturation point hayahitaji
Hao unaowaona wanaanzisha ni karama zao tu ndizo zinawasaidia
kuna kitu waziri haelewi kuwa wasisoma wana makanisa yao wakiongozwa na wasiosoma wenzao
matabaka hayaepukiki kwenye jamii kuna mmisikiti na makanisa kwa ajli ya elites watu wa juu wasomi nk na kuna hao akina hohe hahe wasio na nafasi kwenye makanisa makubwa kwa sababu za kubaguliwa kielimu au kimapato au social status.Hao hawahitaji na hawataki wenye digrii wanataka wenye karama na vipawa tu
ukiweka misharti ya midgrii utatengeneza wapagani wengi wasiosali popote na ni hatari kwa usalama wa nchi sababu hawako tayari kuongozwa na digrii hawataenda sali popote.
hao watu ni lowest class wengi kwenye society umakini unatakiwa kufikia maamuzi na uhusishe idara zote nyeti zikiongozwa na usalama wa taifa.HILI Si la mtu mmoja au wawili tu kuamua
Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma.
Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani" vilivyozagaa kila kona.
Rwanda wamefanikiwa kudhibiti Vibanda Imani kwa kutumia utaratibu huu, amesisitiza Simbachawene.
Source Clouds tv!
Vyuo vinavyotambuliwa na serikali Ni vya milengo fulani ya kiimani ya kidinii zao ambayo Wengine sio imani zao .Unaposema mtu awe na digrii ya kutoka chuo kipi Mfano chuo gani kikuu kinatoa digrii za unabii au utume kinachotambuliwa na serikali?Kulazimisha watu wawe na shahada za teolojia ni kuingilia uhuru wa kuabudu kwa sababu vyuo vinavyotoa shahada hizo vinaweza kuwa na mrengo wa imani unaopingana na imani ya huyu mhusika unayetaka awe na shahada.
Kwa mfano ukitaka mchungaji awe na shahada ya teolojia, unamaanisha akaisomee wapi: Makumira? Kipalapala? Hivi vyuo ni vya waluteri na wakatoliki, wakati mhusika hakubaliani na mafundisho yao!
Waweke tu sheria ya nchi inayolinda raia wote, basi. Mengine waachie watu uhuru. Jinai ishughulikiwe kama jinai tu.
Kaweza Nini nchi Ina watu wangapi? Kule Kagame hahojiwi hapa tutahojiana Hadi kieleweke .Huwezi amka tu ukaja na kitu Cha upande mmoja kaulize hata kagame kama kathubutu kugusa Waislamu kuwa Wawe na digrii .Ngoma nzito kaikimbia na ubabe na ujanja wake wote
Elimu hii ni theology
Mchungaji awe na shahada lakini mbunge ajue kusoma na kuandika tu...hakika kuna sehemu tunakosea tena pakubwa sana
we jamaa unaakili sana..Mbona misikiti haihusiki kwenye sheria hiyo? Huo ni ubaguzi wa wazi dhidi ya wakiristu.
Hii comment ilipaswa kuwa thread,napendekeza ufanye hivyo au utawanyima watu fursa kupata maarifa au kuchallange!Kagame alikosea sana kwa hili anasahau upesi
mauaji ya kimbari yaliendeshwa na kanisa katoliki ambalo viongozi wake wote wana digrii za theolojia.Papa hadi aliomba msamaha hadharani kwa kilichofanywa na mapadri na maaskofu wa kanisa katoliki Rwanda.MAUAJI YALE wasomi wenye digrii za theolojia ndio waliendesha mauaji sasa unapotaka digrii za theolojia ziwe kila kanisa unajielewa?
Pia uwepo wa utitiri wa dini nyingi zenye Imani tofauti tofauti.Kuna faida kubwa Sana nchi kuwa na dini nyingi na madhehebu mengi utitiri yenye Imani tofauti tofauti na viongozi wa dini wenye upeo mdogo wa uelewa Ni muhimu katika kulinda amani ya nchi.Kupanga mapinduzi huwa Ni kugumu mno sababu ya tofauti kubwa za kiimani.
Nchi mfano zenye dini moja au mbili tu mfano rahisi mno kupanga mapinduzi.nchi Kama somalia ,nchi Kama Rwanda iliwezekana sababu ya tatizo Hilo Hilo .Mauaji ya kimbari yalikuwa rahisi kupangwa ndani ya kanisa Katoliki sababu ndio wako majority ndio dini ya wahutu walio wengi wengi ukiunganisha na nchi hiyo kuwa na makabila makubwa mawili tu ya wahutu na watusi unaona kabisa ilivyo rahisi kufanya mapinduzi kwa kutumia muundo mbinu wa kanisa Katoliki au wa kikabila wa kitusi au kihutu.
Ukiwa na dini nyingi zenye imani tofauti husaidia kutunza amani na kuzuia uasi mfano waislamu wa siasa Kali wakiianzisha uasi waislamu wenye msimamo wa wastani wanapinga,walokole wakilianzisha wakatoliki hawaungi mkono,wakatoliki wakilianzisha wasabato wanalikataa nk nk kwa hiyo amani inadhibitiwa kwa kuruhusu dini ziwe nyingi iwezekenavyo na zenye Imani tofauti tofauti.Hapa ndipo wanasiasa husema dini Zina mchango mkubwa katika amani ya nchi.Nchi zenye dini moja au mbili kubwa mapinduzi marahisi kuyapanga.Nchi za Latin America Ni moja ya mifano na nchi za kiarabu.Nchi Kama Iran nk
Nchi kuwa na amani Moja ya silaha kubwa inayotumiwa na wanasiasa Ni ya divide and rule.Na chombo kimojawapo kikubwa kinachotumika Ni dini .Serikali inahakikisha hakuna dini Moja inakuwa na nguvu kubwa mno katika nchi kwa kuruhusu dini zingine zianzishwe au makanisa mengine yaanzishwe Kama waanzishaji hamna serikali yenyewe kupitia shirika lake la ujasusi inatakiwa itoe watu wafungue makanisa mengine yenye imani tofauti na ku ya finance Kama state churches zake au dini zake.Kukiwa na utitiri wa makanisa Ni rahisi serikali nayo kuanzisha Yake au dini zake na kupandikiza viongozi wake wa dini kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi .
SI wote wanaamini kwenye kiongozi wa dini lazima kusoma, hao wasioamini wanahitaji kuwa na groups zao ukiwaacha ukawatupa nje unaua network ya security ya kuwafikia as a group of idiots whatever you call them!!!
Their churches ziwe street churches or whatever za muhimu Sana kwenye usalama wa nchi hasa zikiwa open Sio hidden secret groups.Kuwafungia unatengeneza hidden secret groups sababu hawawezi Sali kwenye hizo zako unazotaka wewe wataingia mafichoni.Na huko mafichoni kuwafikia shughuli pevu sababu ukiwafungia usitarajie watasali kwenye hayo yako unayoyataka
Kagame alichofanya Ni ku consolidate much powers kwa few religious Giants na ku kick out minorities waliozagaa kila mtaa na interior rural areas ambao Ni watu muhimu hata kupandikiza mashushu wa mtaa au Kijiji wakijificha kwenye hivyo vikanisa vya uchochoroni.Vikifutika Sio kesi kubwa Kagame atakuwa na hard time ya KU monitor what is in the streets au porini kwenye rural areas sababu angekuwa na hidden representatives kwenye hivyo vikanisa vya uchochoroni.Sasa hivi anabidi ajikombe kwa Kanisa katolki limsaidie kujua ya vichochoroni kwa kupandikiza mashushu kwenye jumuiya ndogo ndogo za Kanisa katoliki tu au aombe maaskofu wawe wanampa taarifa kila siku za Nini kiko kule kwenye jumuiya zao wampe security secrets za jumuiya husika.Na hiyo haitakuwa na ufanisi sana sababu sio watu wote Ni Catholics atakaoweza kuwadukua vizuri ni wale catholics tu wanaosali jumuiya za kikatoliki maeneo yao the rest hamna system ya kuwadukua sababu hawana mfumo wa kuwakusanya Kama group
Kagame amekosea alitakiwa aache dini zibaki huko huko.Wao wafanye Kazi ya KU plant mashushu tu kwenye hizo religious groups.
Uzuri vikanisa vidogo huwa Ni shock absorber pia kukitokea Tatizo.Mfano makanisa makubwa hutoa nyaraka za kupinga serikali na kuitisha maandamano.Vikanisa vidogo huibuka kupinga na kuwa upande wa serikali.Ukiyapa more powers Giants iko siku utalia kilio Cha mbwa.
Nyaraka zote za kupinga seikali nk hutolewa na dini kubwa zenye wasomi wenye digrii sababu wanafundishwa kupitiliza kwenye hizo digrii wakati hao wasionazo upeo wao unaishia kwenye dini tu huko kwingine hawakujui
Waliomshauri Kagame wana agenda ya Siri dhidi Yake atakuja ijua mbele ya safari.
Tanzania Ni nchi ya amani kwa sababu kuu mbili ya kwanza Nyerere aliposhika nchi alivunja ukabila kwa hiyo.kukawa hakuna kabila linalojitutumua dhidi ya mengine
Mwinyi alipokuja akavunja udini kwa kuruhusu dini huria za imani nyingi tofauti kuanzishwa ambazo haziivi kiimani na zingine kwa pande zote za ukristo na uislamu.
Kikwete alivypingia akapiga marufuku mtu akiajiriwa kujaza kabila lake au dini kwenye fomu.za maombi ya Kazi
Kenya walipata machafuko sababu ukabila wameshindwa kusambaratisha,Udini wameweza ila ukabila umewashinda kuusambaratisha
Rwanda pia ilipata matatizo sababu ukabila walishindwa kusambaratisha na udini walishindwa kusambaratisha.Baada ya Kagame kushika madaraka ukabila anausambaratisha vizuri mno ila kwenye udini kumemshinda. Aliposhika MADARAKA watu walikuwa tayari kufanya Kazi ya kusambaratisha udini kwa kuanzisha dini na makanisa lukuki kila Kona ili kuua nguvu kubwa ya udini kwenye dini kubwa uliokuwepo Sasa Kagame anafanya kazi ya KU consolidate dini kubwa ziwe more strong na kusambaratisha zinazoibuka!!!! Kwa hili Kagame na bunge lake hawako vizuri.Walitakiwa waache ziendelee kuchipuka tu hata zifikie milioni Ni vizuri tu Tena zikifikia mahali ambapo kila mtu ana dini Yake nyumbani tu hapo inakua POA zaidi
Simbachawene si kila kitu cha kuiga Rwanda