G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani?
Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali alitoroka madeni? Uliona wameguswa?
Hukuona Kitima anapigwa kabisa na hakuna kilichokuja kuendelea?
Wewe ni nani ukatae maandamano ya wakatoliki wakiishtaki katoliki kwa katoliki?
In short Mwigulu Nchemba ni mtu asiyetumia akili kabisa kwenye mambo mengi na atawaingiza wengi mkenge kwenye siasa zake za kijinga jingaaa. Kwa wale wasiozitaka watanyolewa sana. Wewe unakataa kwenda na biti la Nchemba linalomtumbuizia mama?
Ila Nchemba hujui tu ila wewe pia ni bonge la bogus kwa mambo unayoratibu. Utoto mwingi wakati wewe ni mtu mzima.