Aisee, wanoko ndani ya TANPOL wakamshauri "mama yao" kuwa, "...huyu mama piga chini, anatuchelewesha na kukwamisha operesheni yetu na kuhakikisha unatawala kwa amani..."Hii ni maajabuu! Unamtoa huyu mwamba unamuweka Katambi?
View attachment 3527330
Una maneno wewe ! Eti "kuogelea kwenye tope la damu kama bata au nguruwe."Aisee, wanoko ndani ya TANPOL wakamshauri "mama yao" kuwa, "...huyu mama piga chini, anatuchelewesha na kukwamisha operesheni yetu na kuhakikisha unatawala kwa amani..."
Lakini kiuhalisia na kusema ukweli kabisa, huyu ndiye aliyekuwa anamsaidia Rais asiendelee kuogelea kwenye matope ya kashfa kama bata au nguruwe!
Amechemka vibaya sana. Kawekwa Patrobas Katambi ili akawaache Polisi wafanye watakavyo
Mi sijaelewa,ina maana mheshimiwa ameachwa kwa kukataa maandamano?Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani?
Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali alitoroka madeni? Uliona wameguswa?
Hukuona Kitima anapigwa kabisa na hakuna kilichokuja kuendelea?
Wewe ni nani ukatae maandamano ya wakatoliki wakiishtaki katoliki kwa katoliki?
In short Mwigulu Nchemba ni mtu asiyetumia akili kabisa kwenye mambo mengi na atawaingiza wengi mkenge kwenye siasa zake za kijinga jingaaa. Kwa wale wasiozitaka watanyolewa sana. Wewe unakataa kwenda na biti la Nchemba linalomtumbuizia mama?
Ila Nchemba hujui tu ila wewe pia ni bonge la bogus kwa mambo unayoratibu. Utoto mwingi wakati wewe ni mtu mzima.
Alikuwa sahihi sana. Fazafaka wa Kizimkazi ni mtu muovu tu!Hii ni maajabuu! Unamtoa huyu mwamba unamuweka Katambi?
View attachment 3527330
Kuna jamaa umemtaja hapo, binafsi hata mimi huwa ninamuona kama mshamba fulani hivi na mtu mwenye utoto mwingi sana. Kwa upande wangu huwa ninamuona anakua mwili tu! Ila siyo akili.Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani?