Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Maria!!! Ni wewe?Hivi unafikiri Bashungwa ndio alitoa amri yafanyike yaliyofanyika yeye mwenyewe?View attachment 3515686
Kwa hiyo uwaziri ni pambo tu wanaofanya maamuzi ni wengine..kwa nini awepo?Hivi unafikiri Bashungwa ndio alitoa amri yafanyike yaliyofanyika yeye mwenyewe?View attachment 3515686
Waziri atoe order? Check your facts againKwa hiyo uwaziri ni pambo tu wanaofanya maamuzi ni wengine..kwa nini awepo?
Acha upotoshaji usio na tija, kilichofanyika 29 ni maagizo ya rais na genge lake, ila sidhani kama alitegemea mauaji yangekuwa ya kiwango kile. It has nothing to do with age.Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kutudia makosa yake.
Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa waziri wakati wa MO29 na mkongwe akiwa waziri wa D9, nimefikia hitimisho kuwa bado ukubwa ni dawa.
Binafsi sio muumini wa wabunge waliokaa bungeni miaka 20, 25 mpaka 30. Nilitamani kazi ya ubunge ingekuwa na ukomo kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.
Lakini jinsi kijana mwenzetu Bashungwa alivyoshughulikia MO29, pamoja na madhila yake yaliyofuata, ukilinganishwa na Simbachawene alivyoshughulikia D9, na utulivyo uliofuata, nadhani kuna wakati vijana tukubali tunachakujifunza kutoka kwa wakongwe waliotutangulia.
Vijana tunapenda madaraka, lakini wakati mwingine yanatuzidi. Cheo kidogo tu mikwara kila kona, mara umefukuza huyu, mara umetukana yule, kule umeweka mtu ndani mwisho ww mwenyewe unageuka kero kwa jamii.
Chukulia mfano wa wakuu wa mikoa, muweke Antony Mtaka kwa upande mmoja na hawa vijana wenzangu kwa upande mwingine halafu tafakari.
Nadhani ingawa tunao vijana wanaofanya vizuri kwenye uongozi, na kwamba tungependa vijana tupewe nafasi zaidi ila bado tunahitaji wakongwe kama akina Lukuvi and the likes kuendelea kuwepo kuturithisha stadi za uongozi.
Nani kasema waziri fulani alitoa order fulani?Acha upotoshaji usio na tija, kilichofanyika 29 ni maagizo ya rais na genge lake, ila sidhani kama alitegemea mauaji yangekuwa ya kiwango kile. It has nothing to do with age.
Kipindi cha mo 29 bashungwa hakuwa waziri wala bunged alikuwa akisubiri matokeo ya uchaguzi nyumbani kwakeNani kasema waziri fulani alitoa order fulani?
Mm nimetoa tathmini ya jumla ya kila waziri alivyoshughulikia tishio la machafuko.
Ndugu Bashungwa mtihani wake ulikuwa MO29, na Ndugu Simbachawene mtihani wake ulikuwa D9.
Kuhusu nani kafanya vizuri na nani kafanya vibaya, ni juu yako wewe mwanajamvi kuamua.
Kwahiyo uwaziri wa Bashungwa ulikoma lini?Kipindi cha mo 29 bashungwa hakuwa waziri wala bunged alikuwa akisubiri matokeo ya uchaguzi nyumbani kwake
Post ya kifala
Pumba tupu.Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako.
Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa waziri wakati wa MO29 na mkongwe akiwa waziri wa D9, nimefikia hitimisho kuwa bado ukubwa ni dawa.
Binafsi sio muumini wa wabunge waliokaa bungeni miaka 20, 25 mpaka 30. Nilitamani kazi ya ubunge ingekuwa na ukomo kama ilivyopendekezwa na Tume ya Warioba.
Lakini jinsi kijana mwenzetu Bashungwa alivyoshughulikia MO29, pamoja na madhila yake yaliyofuata, ukilinganishwa na Simbachawene alivyoshughulikia D9, na utulivyo uliofuata, nadhani kuna wakati vijana tukubali tunachakujifunza kutoka kwa wakongwe waliotutangulia.
Vijana tunapenda madaraka, lakini wakati mwingine yanatuzidi. Cheo kidogo tu mikwara kila kona, mara umefukuza huyu, mara umetukana yule, kule umeweka mtu ndani mwisho ww mwenyewe unageuka kero kwa jamii.
Chukulia mfano wa wakuu wa mikoa, muweke Antony Mtaka kwa upande mmoja na hawa vijana wenzangu kwa upande mwingine halafu tafakari.
Nadhani ingawa tunao vijana wanaofanya vizuri kwenye uongozi, na kwamba tungependa vijana tupewe nafasi zaidi ila bado tunahitaji wakongwe kama akina Lukuvi and the likes kuendelea kuwepo kuturithisha stadi za uongozi.
Jamaa ni mkomavu sana! Pamoja na tishio kubwa la maandamano ya D9 sikumsikia akipiga mkwara hata mara moja. He was calm, composed and focused. Nadhani anaweza saidia kupunguza malalamiko ya wananchi dhidi policeVijana hawastahili vyeo vya maamuzi sababu wanaendekeza uchawa wakilenga kujenga kesho yao kisiasa!
Chawene kaingia tu na kuzungumzia suala tunalolilalamikia siku nyingi kuhusu ukamataji wa polisi!!
Hao wazee hawana cha kupoteza!!
Pepeta tupate mchele!Pumba tupu.
D9 isingewezekana kufanya mauwaji tena hii inatokana na kilichowahi kutokea October haihusiani kabisa na hiyo nafasi ya uwaziri,from now on hata awe Mafuele hawezi tena kuuwa. Usijidanganye hawalali hawa,ngoma nzito hii,anyway haijaisha busara ni kuachia ngazi kama alivofanya Bongo zozo.Nani kasema waziri fulani alitoa order fulani?
Mm nimetoa tathmini ya jumla ya kila waziri alivyoshughulikia tishio la machafuko.
Ndugu Bashungwa mtihani wake ulikuwa MO29, na Ndugu Simbachawene mtihani wake ulikuwa D9.
Kuhusu nani kafanya vizuri na nani kafanya vibaya, ni juu yako wewe mwanajamvi kuamua.
Unajibizana na limbukeni kama huyo utaweza? Ukishaona mtu anayependa kuandika jina kwa kutanguliza na title ya ''Dr'' ujue huyo kichwani ni kweupe. Vihiyo wote siku hizi wanajipa u-''dr''Hivi unafikiri Bashungwa ndio alitoa amri yafanyike yaliyofanyika yeye mwenyewe?View attachment 3515686
Nani kasema waziri fulani alitoa order fulani?