Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipaniki mzee baba ni utani wa jadi tu, hao wazungu wenyewe wanaokuita nyani wana wendawazimu wao. Huyu ni shabiki wa Argentina akishangilia matiti wazi baada ya Argentina kuchukua world cupWaafrika bhana 😊
View attachment 3065992
😀😀😀 lazima tuthibitishe kwamba Rage alikua sahihi.Unatukosea adabu yaani hata mwijaku, unamuanzishja uzi tena kibaya zaidi, uzi wenyewe ni wa KIINGEREZA
Sasa kama yeye mwenyewe kwa hiari yake kaamua kuweka matiti yake wazi, why wewe kuyaziba bob🤔Usipaniki mzee baba ni utani wa jadi tu, hao wazungu wenyewe wanaokuita nyani wana wendawazimu wao. Huyu ni shabiki wa Argentina akishangilia matiti wazi baada ya Argentina kuchukua world cup View attachment 3065995
Those are questions to be answered, but so far there are no complaints from Allice against her husband's announcement for her to be taken by Mr. Ally KamweWas the expected wife or the bride aware of what was going on?! Was she involved in the promise made by her stupid husband?!
Are you serious.!Fun✖️✖️✖️✖️
Fan✔️
Ni vyema tukatumia busara kumnusuru na vishawishi ndugu yetu dronedrakeSasa kama yeye mwenyewe kwa hiari yake kaamua kuweka matiti yake wazi, why wewe kuyaziba bob🤔
Kwamba usahihi ni Fun?Are you serious.!
Both words can express an intended meaningKwamba usahihi ni Fun?
Mengi umekosea Ila hii ndio unaonekana zaidi
Kukosea ni sifa ya binadamuKwamba usahihi ni Fun?
Mengi umekosea Ila hii ndio unaonekana zaidi
THE BEGGINING.
Before derby match on 8/8/2024 at Benjamini Mkapa stadium, a simba fun Mr. Burton Mwemba commonly known as Mwijaku, announced that if yanga will win then Mr. Ally Kamwe, a media and communications manager of yanga, can take his wife. The derby match ended by 1-0 victory to yanga.
THE DAY.
One day after derby Mr. Ally Kamwe acompanied by 20 cars convey of yanga's fans and supporters with bride's presents and all neccesary stuffs for a wedding ceremony started a journey from yanga's headquaters to Mwijaku's house to take a wife, as he was promised by Mwijaku.
HOW IT ENDED.
The elders of yanga step in and to pleased Mr. Ally Kamwe to abort a mission because Mwijaku's announcement was inhumane against his wife, Alice. The discusion was tough because Mr. Ally Kwame was very ambitious to say goodbye to bachelor life, but after long discussion he decided to accept elder's request and abort the mission for now, currently it's not clearly known if Mr. Ally Kamwe will demand fulfilment on Mwijaku's promise on coming days.
Haiwezi kuwa hivyo, fun ni adjectiveBoth words can express an intended meaning
Na kurekebisha sio kosa, Ila kutotambua ulipokosea inaleta mashakaKukosea ni sifa ya binadamu
Kajitahidi japo kina makosa makosa.Hiki Kiingereza mbona cha kimatumbi sana?
Shukrani kwa kunilekebisha. Naomba nisaidie kuonesha sehemu nyingine nilipokosea ili nifanye editingNa kurekebisha sio kosa, Ila kutotambua ulipokosea inaleta mashaka