Simbu alishindwa kumaliza Mbio za Dunia Hungary 2023?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wakuu naangalia Mbio za Dunia kupitia ZBC2, mwanzoni nilimuona katika kundi la kwanza, Mtanzania mwenzangu tena alikuwa kwenye Kumi Bora.

Baadaye sikumuona tena na mwish.oni washiriki karibu wote walioneshwa kwa nafasi zao lakini sikumuona kabisa

Ndugu Melubo Letema tuambie kipi kilitokea.

Washindi

Kiplagat - Uganda

Teferi - Israel

Gebresalasie - Ethiopia
 
Alifika kilomita Arobaini akashibdwa kuendelea…DNF
 
Amedai maandalizi hafifu na kutofanya mazoezi ya mileage, imemuangusha. Kuna namna
 
Back
Top Bottom