Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Yawezekana alipata tatizo huwa mpambanaji Sana yule mwambaSimbu kapotelea gizani[emoji17]
Naona this time .....kama amelazimishaa tu hata hajaenda coach wake ....sababu zilizo nje uwezo...safari ya pro bado ndefu sanaYawezekana alipata tatizo huwa mpambanaji Sana yule mwamba
Alifika kilomita Arobaini akashibdwa kuendelea…DNFWakuu naangalia Mbio za Dunia kupitia ZBC2, mwanzoni nilimuona katika kundi la kwanza, Mtanzania mwenzangu tena alikuwa kwenye Kumi Bora.
Baadaye sikumuona tena na mwish.oni washiriki karibu wote walioneshwa kwa nafasi zao lakini sikumuona kabisa
Ndugu Melubo Letema tuambie kipi kilitokea.
Washindi
Kiplagat - Uganda
Teferi - Israel
Gebresalasie - Ethiopia