Simbu kutimua vumbi na Wakenya na Waethopia Boston Marathon 2025 kesho

Simbu kutimua vumbi na Wakenya na Waethopia Boston Marathon 2025 kesho

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
431
Reaction score
433
IMG_5129.jpeg

baada ya simba kushinda moja ziro, sasa macho na masikio ni kwenye mbio za 127 za boston marathon 42K huko marekani kesho tarehe 21 aprili 2025.

Simbu ni mwanariadha wa kimataifa mwenye sifa ya kutokata tamaa, mzalendo , nidhamu na hari na mchezo wake; hivyo matumaini ni makubwa ya kushinda.

Atakutana na wanariadha wakali kama Sisay Lemma toka ethiopia na Evans chebet toka kenya.

Simbu ni mwanariadha kutoka jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ).
 
Back
Top Bottom