Watu wanaongelea kelvin John as if wengine hawajafunga hata goal moja.
Ukweli.ni kwamba kuna kijana huyu ambaye hivi karibuni ameitwa timu ya taifa na mchezaji wa coast union andrew simchimba ameondoka na magoli 6 nyuma ya kelvin john ambaye ameobdoka na magoli 7.
Kwanza ni mrefu, ana nguvu kama drogba. Au bale akikuzwa vizuri apate club ya nje hata tp mazembe tutakuja kujuta hapo mbeleni.View attachment 1224719
Hao wazee hakuna kwenye umri chini ya miaka 20
Hao wazee hakuna kwenye umri chini ya miaka 20
Acha wivu mpira kipaji...Hao wazee hakuna kwenye umri chini ya miaka 20
Kisoka hua tuna miaka yetu....aache wivu wa kiboya...achia moja chukua nafasi....kama anaweza na yeye akachezeAcha wivu mpira kipaji...