Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Watu wanaongelea kelvin John as if wengine hawajafunga hata goal moja.
Ukweli.ni kwamba kuna kijana huyu ambaye hivi karibuni ameitwa timu ya taifa na mchezaji wa coast union andrew simchimba ameondoka na magoli 6 nyuma ya kelvin john ambaye ameobdoka na magoli 7.
Kwanza ni mrefu, ana nguvu kama drogba. Au bale akikuzwa vizuri apate club ya nje hata tp mazembe tutakuja kujuta hapo mbeleni.