Kuna taarifa ya ajali ambapo inasemekana lori limeigonga Coaster iliyotokea Tunduma kuja Mbeya eneo la Simike. Mchana huu.
Inasemekana kuna vifo kadhaa.
----===========
Hii ajali imetokea leo mlima wa Simike Mbembela mkoani Mbeya na kuuwa watu 13 na kujeruhi watu 18, Chanzo cha ajali ni baada ya Lori kufeli breki kwenda kugonga Costa, guta, bajaji na pikipiki na kusababisha vifo na majeruhi.
RPC Mbeya amethibitisha.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
================
UPDATES...
Taarifa zinazoendelea kuripotiwa kuhusu ajali ya gari aina ya Coaster Jijini Mbeya hapo jana Juni 05, 2024 katika mteremko wa Simike vifo vimeongezeka kutoka 14 mpaka hivi sasa watu 16 wamefariki Dunia.
Taarifa hizi zimethibitishwa na Dkt Godlove Mbwanji ambaye ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.
Ajali Mbaya sana imetokea mkoani Mbeya na kuuwa watu na majeruhi zaidi ya 17. Ni ajali Mbaya sana iliyotokea eneo la Nzovwe baada ya Loli kuonekana kufeli breki na kupoteza muelekeo na hivyo kugonga gari ya abiria aina ya Costa inayosemekana ilikuwa inatokea Mkoani Songwe.
Mungu atusaidie tu maana ajali zinachukua maisha ya watu wengi sana na kuacha simanzi kwa familia.ni machozi matupu na huzuni kwa wana Mbeya.
Ajali Mbaya sana imetokea mkoani Mbeya na kuuwa watu na majeruhi zaidi ya 17. Ni ajali Mbaya sana iliyotokea eneo la Nzovwe baada ya Loli kuonekana kufeli breki na kupoteza muelekeo na hivyo kugonga gari ya abiria aina ya Costa inayosemekana ilikuwa inatokea Mkoani Songwe.
Mungu atusaidie tu maana ajali zinachukua maisha ya watu wengi sana na kuacha simanzi kwa familia.ni machozi matupu na huzuni kwa wana Mbeya.
Kuna taarifa ya ajali ambapo inasemekana lori limeigonga Coaster iliyotokea Tunduma kuja Mbeya eneo la Simike. Mchana huu.
Inasemekana kuna vifo kadhaa.
----
Hii ajali imetokea leo mlima wa Simike Mbembela mkoani Mbeya na kuuwa watu 13 na kujeruhi watu 18, Chanzo cha ajali ni baada ya Lori kufeli breki kwenda kugonga Costa, guta, bajaji na pikipiki na kusababisha vifo na majeruhi.
Bongo kila uzembe dereva anasingizia kufeli breki na kweli anaachwa eti kisa breki ilifeli. Mambo ya hovyo sana.
Mwaka Juzi dereva mmoja Marekani aliua watu 4 kwa kusingizia brake failure, akajikuta anakula miaka 110.
Wenzetu wana watu wa machanics wanapeleka gari gereji inapimwa kuonyesha kama kweli kulikua na brake failure. Bongo watu wanaua watu na waanchiwa kwa kisingizio cha brake failure.
Kuna barabara spesheli kwaajili ya kusaidi magari yaliyokatika brake mfano wake nii huu hapa chini, serikali inazijua sehemu zote hizi korofi waangalie namna yakuokoa raia wake!
Pole sana kwa walioondokewa na wapendwa wao.
Haya Maroli yalutakiwa yapatiwe ufumbuzi
Kama itanuliwe barabara au wajengewe ya kwao ambayo watavamiana wao kwa wao.
Tumechoka kwakweli
Hili eneo limekua na ajali nyingi sana,less than a month washakufa watu wengi sana hapo,chakushangaza hakuna kilichowahi kufanyika hapo na kuna mbunge hajawahi hata kutoa pole or anything yupo anapost anachekacheka tu huku watu wanakufa.