Simike, Mbeya: Ajali ya Lori na Coaster yasababisha vifo zaidi ya Watu 16 na kujeruhi wengine 18

Hilo eneo limekua sugu Sana kwa ajali hapo Mbeya. Hebu Sasa serikali ya Mbeya iache ku dili na mbunge mtarajiwa Sugu waelekeze nguvu kujenga barabara ya njia sita Hilo eneo.
Hii itawasaidia hata Wana CCM.
 
Eneo lile la Mbembela Mbeya sasa limekuwa tishio sana kuliko hata mlima Iwambi,sababu kubwa ni barabara ni nyembamba sana,katika eneo litakalomsumbua CHICO katika upanuzi wa njia nne ni kuanzia META mpaka Mbalizi(itampasa kuwa mbunifu sana ukanda huo).
MUNGU WAPUNGUZIE ADHABU YA KABURI WALIOTUTANGULIA NA AJALI HIYO🙏
 
Usiku wa kuamkia leo nimshtuka saa 8 na Nusu usiku, ghafla tu hata roho yangu ikawa inaumaaaaaa vibaya sana. Nika force tu kurud usingiz , nisijue kuna my blood brother atakua kwenye hii ajali. Hali yake nimeambiwa ni mbaya sanaa
 
Dah! So sad! ☹️ Hayo maeneo nayafahamu sana. Niliishi Nzovwe miaka hiyo. Hivyo kila siku nilikuwa napanda gari kituo cha Mbembela, na kupita hapo Simike.
 
Mbeya ni nyumban lakin kale kamji ni kakifala sana. Hakana hata hadhi ya kuitwa jiji. Kile ni kijiji kilichochangamka
Kibaya zaidi linazidi kuongeza vijiji kila kukicha. Watu wa mipango miji sioni wanachokifanya. Kata changa zilizokua mwishoni mwa 90s na 2000s kama ilemi, iganzo, ituha, isyesye, itezi, nsalaga hazikupaswa kuwa unplanned kabisa maana nchi tayari ilikua na wasomi wengi kutoka chuo cha ardhi

Inanisikitisha sana serikali yetu inavyozembea kufanya planning mapema halafu baadae wanaanza kulipa watu fidia. Tunapaswa kuwa proactive zaidi kuliko kuwaachia watu wafanye wanavyotaka.
 
Why Mbeya miaka nenda rudi!!!
 
Ka
Kabisa mkuu hivi pale darajani kabla ya kufika nane nane atafanya maarifa gani mkuu
 
Mbeya ninadhani walihonga ili wawe Jiji. Baada ya kufanikiwa kuwa Jiji wakalala fofooooo hadi kesho
 
Ule mji hauna mpangilio, hauna mbele Wala nyuma.
Viwanja mjini katikati ya Jiji milioni tano
 
Du mwezi tu uliopita lorry lilizingua hapo.Lingefeli brake pale iwambi msiba ungekuwa mkubwa mbalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…