Simike, Mbeya: Ajali ya Lori na Coaster yasababisha vifo zaidi ya Watu 16 na kujeruhi wengine 18

TUna wasomii au tuna machiz? Hao viongozi unadhan ni watu wenye akili kama wanavyoonekana? Hakuna wanachofikiria zaid ya salary na wizi
 
Poleni sana ndugu zangu wana Mbeya poleni sana kwa kweli .
 
Dah!! Poleni sana wafiwa wote. Huu mlima uangaliwe walau ipatikane barabara ya mbadala kwa haya malori makubwa.
 
Dah!! Poleni sana wafiwa wote. Huu mlima uangaliwe walau ipatikane barabara ya mbadala kwa haya malori makubwa.
Kitu kimoja napenda kufahamu, hiv ni kwann hiz kesi za haya malori ku fail upepo wa brake hutokea sana, shida huwa nini??? Maana dereva anakua anaamini yuko safe na katoka koote huko brake zipo, suddenly upepo wa brake unakata, nini huwa sababu????
 
Daaah .hivi gari ikifeli break hamnaga njia nyengine yakuifanya isimame au kupunguza mwendo? Hizi ni nguvu za giza hamana cha kufeli breki.imetoka huko ilikotoa then inakuja kufeli break ikiwa karibu na costa ? pale simike pamekunywa damu za watu wengi sana aisee
 
Hizi ajali za namna hii zinatokea mara nyingi mpaka unaweza ukahisi ni ya last time.
 
Kitu kimoja napenda kufahamu, hiv ni kwann hiz kesi za haya malori ku fail upepo wa brake hutokea sana, shida huwa nini??? Maana dereva anakua anaamini yuko safe na katoka koote huko brake zipo, suddenly upepo wa brake unakata, nini huwa sababu????
Ukweli ni kwamba, magari mengi ni mabovu na hayastahili kuwepo barabarani ila yanaendeshwa hivyo hivyo..
 
Ikishafeli ni kutafuta tu mahali pa kuibamiza chini sasa inapofeli kwenye eneo lenye hekaheka ndiyo mambo kama hayo hutokea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…