Simiyu: Akamatwa na Kobe zaidi ya 400 wakiwa kwenye mabegi 3

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kupatikana na nyara za serikali.

Kamanda Polisi mkoani Simiyu, ACP Richard Abwao, amesema mtuhumiwa amekutwa akiwa na mabegi matatu yakiwa na kobe 438 wenye thamani ya shilingi milioni 71.1, bila yakuwa na kibali.


 
jamaa alishatusua kimaisha 71 sio pesa ndogo kipindi hiki.
 
kwani kobe wanauzwa wapi na wana kazi gani?

mwenye uelewa anisadie tafadhali πŸ™
 
Watu wa hivi wafungwe miaka 30 bila dhamana wala kuzungushwa mara sero mara mahakamani. Hivi vithibitisho tu basi apewe mkanda wa 30 years in jail. Ili iwe fundisho kwa magenge kama haya ya wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…