Simiyu: Akamatwa na Kobe zaidi ya 400 wakiwa kwenye mabegi 3

Nani mteja wa Makobe....
Serikari n wakati wakufungua fursa kwa vijana....
kama n fursa serikali ifungue masoko ya hao viumbe.....
iweke utaratibu rafiki wa vibali....
watu tuzame maisha ni magumu eti....
kuliiko kuuza unga bora tukafuge kobe mbona porini wapo wengi sana.....!!!!!
 
Hizi nchi zetu za kiafrika kutoka kimaisha ngumu sana kwasababu tumekariri sana. Badala ya serikali kuwapa fursa watu wake kutumia rasilimali zinazotuzunguka yenyewe iko busy kuwakomoa. Kuna watu waliokuwa wanatajirika na vipepeo tu lakini alitokea mshamba mmoja kaua biashara hiyo. Kiukweli sisi kobe hatuna kazu nao yoyote kama wengine kwao dili waruhusiwe wafuge na kisha wauze. Maendeleo ni kubadilisha rasilimali uliyonayo upate rasilimali usiyonayo. Watu waruhusiwe wafuge/walime kobe kama wanavyofuga ngombe mbuzi kuku nk
 
Wao wankomaa tu na form ajira. Na yenyewewasitoe.. Na haiwezekan kuajir watu wote
Fungua fursa... Kila mtu azame kwake... Kuna mtu hawez kulima lkn kuokota kobe au kufuga vipepeo ataweza.....
Watu wajae huku tu make life... Jaman hali ngumu.....
 
Embu tufikiri nje ya box.
Hivi kobe ni nyara za serikali toka lini?
Kosa la huyo mtu ni nini?
Kuwa na kobe? Kuwa na kobe wengi? Kuuza kobe?

Kama mtu ameamua kuzalisha kobe ili kuuza, au kuwasaka maporini ili kuuzia watu mijini, shida iko wapi?
 
Ilikuwa safari ya China nini?
 
Sasa ya nini makobe hayakamuliwi maziwa, hayana mbolea, hatuli nyama ebu muachieni kijana anapambana.
 
Kama kweli makobe wanataka yadumu, waruhusu yafugwe watu wayauze kibiashara hayataisha kama kuku, mbuzi, ng'ombe, nk.
 
Embu tufikiri nje ya box.
Hivi kobe ni nyara za serikali toka lini?
Kosa la huyo mtu ni nini?
Kuwa na kobe? Kuwa na kobe wengi? Kuuza kobe?

Kama mtu ameamua kuzalisha kobe ili kuuza, au kuwasaka maporini ili kuuzia watu mijini, shida iko wapi?

Toka kitambo tu kasome Wildlife Conservation Act kwenye schedule utawaona kwenye list.

Hata kanga nao ni nyara sema wanafugwa kiholela ukitaka kujua ni nyara visha mayai kwenda hapo Kenya wakudake uone moto wake
 
Bongo ni bora mtu afe ahumukumiwe maisha kisa kobe wake Hana vibali rahisisha toa vibali watu wafuge kobe wauze kwa wanaowahitaji mtu anapewa kifungo kidogo harafu anapewa Elimu ya kupata vibali maana soko analo kabisa..tubadilike bhana vipo vitu vya kufunga watu sio kobe au vipepeo sijui kumbikumbi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…