Simiyu: Akamatwa na Kobe zaidi ya 400 wakiwa kwenye mabegi 3

Gamba la juu la Kobe Ni RAW material Muhim Sana ktk utengenezaji wa BULLET PROOF materials Kama ARMORED VEHICLES, ARMORED WALLS, BULLET PROOF VEST.

Wateja wengi wa magamba ya Kobe Ni wenye viwanda vya silaha.

Pia,
Kule bara la asia, magamba ya Kobe hutumika kwenye ushirikina sana ukiachilia mbali shughuri nyinginezo za kitabibu.
 
Mulipoambiwa nchi tajiri mulifikiri munadanganywa?
Haya kobe tu hela hivyo,
 
Alikua anaenda kuwauza wapi? anaemjua mnunuzi please,
 

Akikutwa na hatia awezi kosa kifungo cha miaka sio chini ya 30 na nikimuangalia akosi miaka arobaini hivyo kwa haraka anaweza maliza kifungo akiwa na miaka si chini ya sabini
 
Embu tufikiri nje ya box.
Hivi kobe ni nyara za serikali toka lini?
Kosa la huyo mtu ni nini?
Kuwa na kobe? Kuwa na kobe wengi? Kuuza kobe?

Kama mtu ameamua kuzalisha kobe ili kuuza, au kuwasaka maporini ili kuuzia watu mijini, shida iko wapi?

Kuna viumbe au wanyama au ndege wana marufuku ya kusafirishwa kama la kukutwa na nyara ...muwe mnasoma
 
Kuisoma 71M ni nyingi ila na hao kobe 400 wengi mno bwana unarisk kushtukiwa kama hauna Godfather.

Kobe wanne napata sh ngapi?
 
Wenyewe wanatuambia tutafute namna kujiajiri haohao tukitafuta hizo namna wanatukamata hivi tuwaeleweje lakini?mnataka roho zetu au?
 
Kobe nawapitaga tu,kumbe Ni dili ngoja nianze kuwasaka.
 
Kuna taratibu za kufata ili ufuge kobe au ufa years biashara hiyooo mzee

Ova
 
Embu tufikiri nje ya box.
Hivi kobe ni nyara za serikali toka lini?
Kosa la huyo mtu ni nini?
Kuwa na kobe? Kuwa na kobe wengi? Kuuza kobe?

Kama mtu ameamua kuzalisha kobe ili kuuza, au kuwasaka maporini ili kuuzia watu mijini, shida iko wapi?
Kuna taratibu za kufata kabla hujamiliki wadudu hao

Ova
 
Hiyo sheria haijaanza jana walk juzi
Ni ya kitambo sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…