Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri Busega, Simiyu leo December 22, 2024 ambako Waziri Majaliwa alikuwa mgeni Rasmi katika mkutano wa jimbo ulioandaliwa na Mbunge wa Busega.
Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025!
Wengine watoa ng'ombe kwa Rais Samia, na ngombe wengine wamekabidhiwa kwa Majaliwa na familia yake.