LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Walisema leo saanne asubuhi watakua wameshatangaza ushindi. Nadhani ndio icho walichomaanisha!?
 
Propaganda tangu 95 hazibadiliki hebu watafute mpya kwa kizazi kipya!
 
Mbinu Za Kishamba mnoo Wajaribu Kubadilika
 
Ila sasa kwani kuna watu kweli walitarajia kushinda
 
Hiyo ni Simiyu, sasa hapa iringa kwa siku ya jana naona ulinzi mkali wakishusha kisanduku flani kwenye ofisi ya Mkurugenzi, sijui ndiyo nini kimefanyika!.
 
Huyo mtuhumiwa mliyomkuta na hayo makaratasi mbona hayupo katika hiyo video au mmeyaokita jalalani
 
CCM Imekata Pumzi Haa Aibu Sana Yaani Uchaguzi Imechoka
Mwakani Itabanduliwa Madarakani Mapema Sana
 
Propaganda za idara ya habari chadema ni za kitoto, yaani muense stationery mkazitengeneze, halafu mjifanye eti mmekamata kuda
 
Back
Top Bottom