The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
fake nini sasa hii habari n feki au vp mbona huelewekiFAKE!!
Chama mfuAnaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X
"Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo"
Soma pia: Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa
View attachment 3162892
Neno moja lakini bado hujaelewa 🤣 🤣fake nini sasa hii habari n feki au vp mbona hueleweki
Na majitu yote yenye uovu wa kila aina yamejazana huko CCMPropaganda tangu 95 hazibadiliki hebu watafute mpya kwa kizazi kipya!
Kamata nani?Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X
"Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo"
Soma pia: Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa
View attachment 3162892
Wewe unashirikiana na chama cha mashetani na kuishi nao!Na majitu yote yenye uovu wa kila aina yamejazana huko CCM