Simiyu: Maafisa wa Serikali watuhumiwa kutumia gari la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupora Wakulima kwa silaha za moto

CCM haina tofauti na bokoharam
 
Sasa unaenda jera kwa wizi wa milioni mbili? Wewe unastshili kubanduliwa malinda
 
MMMBADO hadi figo watachukua kwa force
 
UVCCM kuutetea Huo WIZI kwa NGUVU zote
 
Majizi yameona yatumie silaha kupora mali 🤔
 
Duh robbery hiyo

Wananchi wangemalizana nao tu hao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…