beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,881
- 6,377
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani kitafanyika mkoani Simiyu ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amesema maadhimisho hayo yatatanguliwa na maonesho ya wajasiriamali yatakayodumu kwa siku saba.
Mtaka amesema pamoja na kuwa mgeni rasmi, Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa na ziara ambapo atazindua na kuweka jiwe la msingi katika miradi mbalimbali mkoani humo.
Maadhimisho wa siku ya wanawake duniani yanaendelea katika mikoa mbalimbali na kilele chake ni Machi 8 kauli mbiu ikiwa ni kizazi cha usawa kwa maendeleo ya Tanzania ya sasa na ya baadaye.
Chanzo: TBC
====
About International Women's Day
International Women's Day (IWD) is celebrated annually on March 8.
The day has occurred for well over a century, with the first IWD gathering in 1911.
The day is not country, group or organization specific - and belongs to all groups collectively everywhere.
Gloria Steinem, world-renowned feminist, journalist and activist once explained "The story of women's struggle for equality belongs to no single feminist nor to any one organization but to the collective efforts of all who care about human rights."
So make International Women's Day your day and do what you can to truly make a positive difference for women.
What is International Women's Day?
International Women's Day (March 8) is a global day celebrating the social, economic, cultural and political achievements of women. The day also marks a call to action for accelerating gender parity.
No one government, NGO, charity, corporation, academic institution, women's network or media hub is solely responsible for International Women's Day. Many organizations declare an annual IWD theme that supports their specific agenda or cause, and some of these are adopted more widely with relevance than others. International Women's Day is a collective day of global celebration and a call for gender parity.
International Women's Day is all about unity, celebration, reflection, advocacy and action - whatever that looks like globally at a local level. But one thing is for sure, International Women's Day has been occurring for well over a century - and continue's to grow from strength to strength. Learn about the values that guide IWD's ethos.