Simiyu: Mkurugenzi abomoa msingi wa jengo la madarasa kisa kujengwa kiwango cha chini

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Fundi (1).jpg
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango.

Mbali na uhamuzi huo, Mkurugenzi huyo amemwagiza Fundi aliyekuwa anajenga msingi huo kubomoa na kuanza kuujenga upya kwa gharama zake mwenyewe na kwa kufuata taratibu zote zinazotakiwa kwenye ramaini ya ujenzi (BOQ).

Akiwa kwenye zoezi kukagua madarasa yote yanayojengwa kwa ajili kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023, mkurugenzi huyo amefika shuleni hapo na kubaini fundi alitumia nondo mbili badala ya nne kwenye mzunguko wote wa msingi jambo ambalo ni hatari.

Madhaifu mengine ni fundi huyo kuchimba msingi huo kwa vipimo ambavyo siyo sahihi, ambapo vipimo sahihi msingi unatakiwa kuwa na kina cha sentimeta 75 hadi 90, upana setimeta 69 na mita 9 kwa urefu wa darasa moja ambapo fundi hiyo hakufanya hivyo.

Aidha ilibainika kuwa fundi huyo hakuwa amemwaga mchanga wa awali chini msingi na hakuwa amemwaga zege ya awali kabla ya kuweka tofali, huku ikibainika tatizo kubwa ni kamati za ujenzi kutotimiza wajibu wake.

Fundi (2).jpg

Fundi (3).jpg
 
Mkurugenzi aache unonko. Yeye dili zakd kwa nini ticcm na pccmb huwa hamtibulii, maticha na bodi wamefanikisha mchongo analeta uzibe?

Tunaweka tofali za 1:55.
Mwaka huu lazma kieleweke.
 
Kwani hawakuweka mtu kuangalia?
 
Safi sana. Sasa mambo ya mchezo mchezo yanakabiliwa vilivyo.
 
Kwani hawakuweka mtu kuangalia?
si amesema kamati haikuwajibika pia nadhani kuna mhandisi wa halmashauri anatakiwa kuwa site hivyo kamati na mhandisi wanapaswa kuwajibika.
 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango.

Mbali na uhamuzi huo, Mkurugenzi huyo amemwagiza Fundi aliyekuwa anajenga msingi huo kubomoa na kuanza kuujenga upya kwa gharama zake mwenyewe na kwa kufuata taratibu zote zinazotakiwa kwenye ramaini ya ujenzi (BOQ).

Akiwa kwenye zoezi kukagua madarasa yote yanayojengwa kwa ajili kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023, mkurugenzi huyo amefika shuleni hapo na kubaini fundi alitumia nondo mbili badala ya nne kwenye mzunguko wote wa msingi jambo ambalo ni hatari.

Madhaifu mengine ni fundi huyo kuchimba msingi huo kwa vipimo ambavyo siyo sahihi, ambapo vipimo sahihi msingi unatakiwa kuwa na kina cha sentimeta 75 hadi 90, upana setimeta 69 na mita 9 kwa urefu wa darasa moja ambapo fundi hiyo hakufanya hivyo.

Aidha ilibainika kuwa fundi huyo hakuwa amemwaga mchanga wa awali chini msingi na hakuwa amemwaga zege ya awali kabla ya kuweka tofali, huku ikibainika tatizo kubwa ni kamati za ujenzi kutotimiza wajibu wake.

1667889075618.png

Force Account hoyeeee?
Naye fundi Maiko anayeaminiwa sana na watendaji wa kuitetea Force Account, yupo hapo akishangaa nayeye ubunifu wake.
 
Mkurugenzi aache unonko. Yeye dili zakd kwa nini ticcm na pccmb huwa hamtibulii, maticha na bodi wamefanikisha mchongo analeta uzibe?

Tunaweka tofali za 1:55.
Mwaka huu lazma kieleweke.
Nimewahi kusema hili jukwaa limevamiwa na kuharibiwa na walimu
 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango.

Mbali na uhamuzi huo, Mkurugenzi huyo amemwagiza Fundi aliyekuwa anajenga msingi huo kubomoa na kuanza kuujenga upya kwa gharama zake mwenyewe na kwa kufuata taratibu zote zinazotakiwa kwenye ramaini ya ujenzi (BOQ).

Akiwa kwenye zoezi kukagua madarasa yote yanayojengwa kwa ajili kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023, mkurugenzi huyo amefika shuleni hapo na kubaini fundi alitumia nondo mbili badala ya nne kwenye mzunguko wote wa msingi jambo ambalo ni hatari.

Madhaifu mengine ni fundi huyo kuchimba msingi huo kwa vipimo ambavyo siyo sahihi, ambapo vipimo sahihi msingi unatakiwa kuwa na kina cha sentimeta 75 hadi 90, upana setimeta 69 na mita 9 kwa urefu wa darasa moja ambapo fundi hiyo hakufanya hivyo.

Aidha ilibainika kuwa fundi huyo hakuwa amemwaga mchanga wa awali chini msingi na hakuwa amemwaga zege ya awali kabla ya kuweka tofali, huku ikibainika tatizo kubwa ni kamati za ujenzi kutotimiza wajibu wake.

Kwa kuangalia uhalisia wa Kazi aliyoifanya fundi kujenga Msingi huo ni Kazi bora sana kwamba Msingi umefungwa kwa kuimarishwa na nondo kuzuia nyufa zisijitokeze kwenye kwenye Jengo na kulifanya Jengo kuwa imara ambayo ni Kazi ya fundi yeyote aliyemzuri. Kwa upande mwingine kuna BQ ambayo inatakiwa kufuatwa na engineer msimamizi wa Jengo, na kwa elimu ya Tanzania Ma- engineer wengi ni wavivu kufanya upembuzi yakinifu maeneo ya ujenzi, kwa jeuri kwamba fundi akijenga kutumia uzoefu wake katika maeneo ya ujenzi ataamrishwa kuvunja Jengo kwa ghalama zake.
Nevertheless, tatizo kubwa katika ujenzi hapa Tanzania ni Ma- engineer kuwa miungu watu. Ndo maana ujenzi kwenye squatters una Kasi sana kuliko surveyed areas ambako miungu watu hawa lazima wasimamie ujenzi. Mwisho wa siku Ubora wa ujenzi ni ule ule, kwani anayejenga ni fundi, sio engineer
 
Back
Top Bottom