#COVID19 Simiyu: Mwamko wa Chanjo ya Covid-19 ni mdogo sana

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Boniphace Marwa amesema Mkoa huo haufanyi vizuri katika mapokeo ya Chanjo licha ya Maambukizi kuwepo pamoja na Vifo vya Wagonjwa.

Dkt. Marwa amesema sababu zinazopelekea mwamko mdogo wa Wananchi ni pamoja na sababu za kijamii na Elimu ya Chanjo kutowafikia Watu wengi.

Amewataka Wananchi wanaougua kufika kwa haraka kwenye Vituo vya Afya ili kupata matibabu pamoja na Serikali kupata takwimu za hali ya tatizo jinsi lilivyo.
 
Miss Zomboko kwenye ubora wako.

Ila hili zoezi si hiari lakini
 
Mtoa elimu hana elimu, unafikili ni rahisi kueleweka?


Watoa elimu Wangelkua na ABC's kuhusu chanjo sidhani tungelkua na chanjo za akina Pfizer apa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…