Simiyu: TRA yamtembelea mkuu wa mkoa wa Simiyu na kufanya mazungumzo

Simiyu: TRA yamtembelea mkuu wa mkoa wa Simiyu na kufanya mazungumzo

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
132
Reaction score
376
RC AND RM SIMIYU.jpg

Meneja Wa TRA Mkoa wa Simiyu Ndugu Joseph Mtandika Siku ya Ijumaa tarehe 01.08.2025 alimtembelea mkuu mpya wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anamringi Macha Kwa lengo la kujitambulisha na kumkaribisha. Pia Meneja alimkabidhi tuzo ambayo Mkoa umepewa na Kamishna Mkuu Ndg Yusuph Juma Mwenda kwa kuvuka malengo miezi yote 12 katika mwaka wa fedha 2024/2025.
 
Back
Top Bottom