Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania.



Kama kawaida yetu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutawaletea kila kinachojiri.

Usiondoke JF

==========
Awali Mwamba kabisa akiwasili Mjini Bariadi



Chuma Chikolii Moto



Bariadi Moja hiyo , kimenuka rasmi




 
siasa ni sayansi ndrugu zango πŸ’

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine πŸ’

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe πŸ’
 
siasa ni sayansi ndrugu zango πŸ’

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine πŸ’

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe πŸ’
Ushauri wako umepuuzwa
 
Saa 12:22 Maandamano bado 🐼
 
siasa ni sayansi ndrugu zango [emoji205]

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine [emoji205]

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe [emoji205]

Unaamini ugumu wa Maisha TZ Ni kwakuwa watu hawafanyi kazi?

Naomba kujua Level ya Elimu yako, tafadhali haraka?
 
Unaamini ugumu wa Maisha TZ Ni kwakuwa watu hawafanyi kazi?

Naomba kujua Level ya Elimu yako, tafadhali haraka?
wafanya kazi kwa bidii hawawezi eti kuacha kazi zao mathalani mashambani, masokoni au malishoni wajiunge na wavivu ati mahali fulani kuna mtu anasababisha ugumu wa maisha yao 🀣

that is useless kabisa...

the priority of every able citizen here in Tz should be working hard and nothing else πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…