Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Ndiyo maana ktk nchi iko inayoitwa "serikali". Kazi ya serikali kuiwezesha hii sayansi itende kazi kwa manufaa ya wananchi

Serikali ikishindwa kuifanya hiyo uliyoita "sayansi" hapo☝🏻☝🏻 juu kutengeneza mazingira bora ya watu kufanya kazi zao kwa manufaa yao:

Mathalani ni kufanya kazi kwa bidii ili watu wanufaike na bidii yao ya kazi ni na kufanya maisha yaende kwa urahisi inategemea na haya yanayopaswa kufanywa na serikali;

√ Uwezo wa nishati ya umeme wa uhakika na wa bei rahisi
√ Uwepo wa miundombinu bora ya usafiri na usafirishaji
√ Uwepo wa sera bora za kilimo na bei za mazao ya kilimo kwa wakulima..
√ Uwepo wa mazingira salama na rafiki ya kibishara..
√ Uwepo wa huduma bora za kijamii mf. afya, elimu, kisheria nk nk
√ Uwepo wa sera nzuri na rafiki za kodi
√ Uwepo wa mifumo imara na madhubuti kudhibiti rushwa na ufisadi serikalini.
√ Uwepo wa mfumo thabiti wa kisheria na utoaji haki nk nk

Sasa niambie jukumu la hayo yote ni la nani? Sio la serikali? Vipi inapokuwa imeonekana iwaziwazi kuwa imeshindwa kutekeleza wajibu wake?

JIBU NI: wananchi kuiwajibisha serikali hiyo kwa namna njia zozote halali..!!

Ndo kusema kuwa, kufanya kazi kwa bidii bila ubora wa mazingira hayo hapo juu ni kazi bure ndugu Tlaatlaah

Na kwa hili, binafsi nakuona wewe kama mtu mjinga fulani hivi usiyejua jukumu kuu la serikali yoyote ile. Maana ungekuwa unajua usingeandika ulichokiandika hapa..!

Na sikiliza bwana.

Kufanya kazi kwa bidii haimsadii mtu kama anachopata kinaishia kwenye mifuko iliyotoboka kwa kutobolewa na mifumo ya rushwa na ufisadi wa viongozi wa serikali, kodi na tozo onevu kwenye huduma (simu, fedha, umeme, usafiri nk) na bidhaa (petrol nk) kiasi cha kila tunachopata kwa kufanya kwetu kazi kwa bidii kuchukuliwa na serikali ya kifisadi na kutumiwa na wao pekee yao kifisadi..

Hapo ndipo ulipo ugomvi wa wananchi na serikali yao. Hatuitaki serikali iliyojiweka yenyewe madarakani...

Tunataka iwajibike kwa aidha kukaa chini na kubadilika au iondoke ili kuruhusu ije serikali nyingi sikivu na inayowajibika kwa wananchi..

Kiini cha ugomvi upo hapa. 👇🏻👇🏻

Kwamba, tunaandamana mioyoni na waziwazi ili serikali itimize wajibu wake na kama hii iliyopo imeshindwa, basi iondoke ilI kupisha serikali nyingine. Hili haliwezi kusubiri au kwenda kwa utaratibu wa kawaida.

Ni kwa kutumia shinikizo la umma (public pressure) ili kulazimisha mambo kutokea..

It can't be useful to a manipulative and ignorant person like you..!

Mjinga wewe.

Hujui usemalo wala ujualo because of your wickedness ..

Na kwa sababu labda wewe unakula vya kifisadi na wizi halafu unabwatuka hapa kuita wenzio "wavivu"

Shame on you..
🤣 🤣 🤣
 
siasa ni sayansi ndrugu zango 🐒

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine 🐒

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe 🐒
Lazima kuwe na mazingira wezeshi
 
may be maarifa, woga na uthubutu binafsi...

kwa ujumla mazingira wezeshi nchini ni mazuri sana, yanaruhusu, ni salama kwa chochote kufanyika au kufanywa na yeyote.. :whatBlink:
Kodi kibao ukifungua biashara, ukilima hujui utamuuzia nani? mahindi sahivi gunia ni 30,000 lakini mbegu mifumo 4 kwa ekari moja ni 60,000, bado hujakodi shamba, mbolea ya kupandia na kukuzia, kupalilia, kuvuna, kusomba, kutunza n.k
 
siasa ni sayansi ndrugu zango 🐒

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine 🐒

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe 🐒
Sasa kwa nini mnatuambia tuache kazi zetu tukapange mistari kuchagua viongozi? Hao viongozi ni wa kazi gani?
 
wafanya kazi kwa bidii hawawezi eti kuacha kazi zao mathalani mashambani, masokoni au malishoni wajiunge na wavivu ati mahali fulani kuna mtu anasababisha ugumu wa maisha yao 🤣

that is useless kabisa...

the priority of every able citizen here in Tz should be working hard and nothing else 🐒
Huko wa kina Makala wanakopita, Mwenyekiti wa ccm akipita hao wanaokusanyika ni majobless?
 
Sasa kwa nini mnatuambia tuache kazi zetu tukapange mistari kuchagua viongozi? Hao viongozi ni wa kazi gani?
fursa ni nyingi sana, ila hayupo wa kukulazimisha ufanye hiki au kile, ni uamuzi, hiyari yako, utayari, uthubutu na uchangamfu wako tu katika kuchangamkia hizo fursa...

kama miaka yote wewe ni wa kupiga mistari tu huku mazingira kufanya kazi yakiwa mazuri sana, na huduma muhimu za kibinadamu zipo tena za uhakika, tatizo la ugumu wa maisha ni uchaguzi wako tyu....

haiwezekani ulinzi na usalama ni bure na wa uhakika, huduma za elimu, afya, umeme na maji zimeenea kila mahali, halafu tena uletewe na chakula kabisa nyumbani kwako:pedroP:

maana kua maskini au tajiri ni uamuzi wako binafs tu... :whatBlink:
 
Huko wa kina Makala wanakopita, Mwenyekiti wa ccm akipita hao wanaokusanyika ni majobless?
wengi ni wakulima, wafugaji na wafanyibiashara wachapa kazi kwa bidii sana...

na hao sio laini zaidi ya maini kama wale wa maandamano:pedroP:
 
wengi ni wakulima, wafugaji na wafanyibiashara wachapa kazi kwa bidii sana...

na hao sio laini zaidi ya maini kama wale wa maandamano:pedroP:
Dogo huwa unaamini katika miguvu na ubabe wa kijinga , Maisha hayako kama unavyodhani
 
Dogo huwa unaamini katika miguvu na ubabe wa kijinga , Maisha hayako kama unavyodhani
unakumbuka niligombea ubunge nikiwa na bei gani vile :pedroP:

mie nadhani kuishi bila malalamiko ya ugumu wa maisha inawezekana kabisa.....:DisGonBGud:
 
🌈 Punguza utoto.
Yes,

katika mahangaiko yangu, na ninapokutana na magumu au mkwamo ambao sielewi namna ya kujikwamu, huwa na mshirikisha n kumwambia Mungu anionyeshe njia.....

Na pale ambapo ninaelekea kukata tamaa na sielewe sawasawa, namwambia Mungu anifundishe kama mtoto, mdogo sana asieelewa chochote.....

na kwa hivyo katika utoto, binafsi hupata faida, kama wewe una wadharau wana wa Mungu katika utoto wao, hiyo ni shauri yako lakini, nikujulishe tu kwamba kuna faida kwenye utoto :pedroP:
 
Wewe endelea kuwa Chawa , sisi tuache tuendelee kupigania haki
mpiganie haki za wavivu sio, wasiojiamini, wasiopenda kufanya kazi na kujitegemea :pedroP:

kwanza watu wenyewe laini zaid ya maini hamna lolote mnajihangasha tyu...
 
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania.

View attachment 2972494

Kama kawaida yetu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutawaletea kila kinachojiri.

Usiondoke JF

==========
Awali Mwamba kabisa akiwasili Mjini Bariadi

View attachment 2972734View attachment 2972737

Chuma Chikolii Moto

View attachment 2972773View attachment 2972774

Bariadi Moja hiyo , kimenuka rasmi


View attachment 2972796

View attachment 2972799View attachment 2972801View attachment 2972840View attachment 2972842View attachment 2972844
Simiyu wametisha sana.
 
Back
Top Bottom