Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

Tutawagalagaza kura kwenye uchaguzi utarudi na machozi shavuni,shauri yako bwana mdogo,msalimie Boniyai mwambie atoe hata ofa ya yai mojamoja kwa hako kagenge kasikate tamaa
Usilie Mambo bado
 
🤣 🤣 🤣
 
siasa ni sayansi ndrugu zango 🐒

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine 🐒

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe 🐒
Lazima kuwe na mazingira wezeshi
 
may be maarifa, woga na uthubutu binafsi...

kwa ujumla mazingira wezeshi nchini ni mazuri sana, yanaruhusu, ni salama kwa chochote kufanyika au kufanywa na yeyote..
Kodi kibao ukifungua biashara, ukilima hujui utamuuzia nani? mahindi sahivi gunia ni 30,000 lakini mbegu mifumo 4 kwa ekari moja ni 60,000, bado hujakodi shamba, mbolea ya kupandia na kukuzia, kupalilia, kuvuna, kusomba, kutunza n.k
 
siasa ni sayansi ndrugu zango 🐒

dawa ya ugumu wa maisha yako ni kufanya kazi kwa bidii tu na sio kulaumu au kumsingizia mwingine 🐒

it can't be and it is useless....

uvivu wako ndio mzigo na msalaba wako, ubebe mwenyewe 🐒
Sasa kwa nini mnatuambia tuache kazi zetu tukapange mistari kuchagua viongozi? Hao viongozi ni wa kazi gani?
 
Huko wa kina Makala wanakopita, Mwenyekiti wa ccm akipita hao wanaokusanyika ni majobless?
 
Sasa kwa nini mnatuambia tuache kazi zetu tukapange mistari kuchagua viongozi? Hao viongozi ni wa kazi gani?
fursa ni nyingi sana, ila hayupo wa kukulazimisha ufanye hiki au kile, ni uamuzi, hiyari yako, utayari, uthubutu na uchangamfu wako tu katika kuchangamkia hizo fursa...

kama miaka yote wewe ni wa kupiga mistari tu huku mazingira kufanya kazi yakiwa mazuri sana, na huduma muhimu za kibinadamu zipo tena za uhakika, tatizo la ugumu wa maisha ni uchaguzi wako tyu....

haiwezekani ulinzi na usalama ni bure na wa uhakika, huduma za elimu, afya, umeme na maji zimeenea kila mahali, halafu tena uletewe na chakula kabisa nyumbani kwako

maana kua maskini au tajiri ni uamuzi wako binafs tu...
 
Huko wa kina Makala wanakopita, Mwenyekiti wa ccm akipita hao wanaokusanyika ni majobless?
wengi ni wakulima, wafugaji na wafanyibiashara wachapa kazi kwa bidii sana...

na hao sio laini zaidi ya maini kama wale wa maandamano
 
wengi ni wakulima, wafugaji na wafanyibiashara wachapa kazi kwa bidii sana...

na hao sio laini zaidi ya maini kama wale wa maandamano
Dogo huwa unaamini katika miguvu na ubabe wa kijinga , Maisha hayako kama unavyodhani
 
Dogo huwa unaamini katika miguvu na ubabe wa kijinga , Maisha hayako kama unavyodhani
unakumbuka niligombea ubunge nikiwa na bei gani vile

mie nadhani kuishi bila malalamiko ya ugumu wa maisha inawezekana kabisa.....
 
unakumbuka niligombea ubunge nikiwa na bei gani vile

mie nadhani kuishi bila malalamiko ya ugumu wa maisha inawezekana kabisa.....
Wewe endelea kuwa Chawa , sisi tuache tuendelee kupigania haki
 
🌈 Punguza utoto.
Yes,

katika mahangaiko yangu, na ninapokutana na magumu au mkwamo ambao sielewi namna ya kujikwamu, huwa na mshirikisha n kumwambia Mungu anionyeshe njia.....

Na pale ambapo ninaelekea kukata tamaa na sielewe sawasawa, namwambia Mungu anifundishe kama mtoto, mdogo sana asieelewa chochote.....

na kwa hivyo katika utoto, binafsi hupata faida, kama wewe una wadharau wana wa Mungu katika utoto wao, hiyo ni shauri yako lakini, nikujulishe tu kwamba kuna faida kwenye utoto
 
Wewe endelea kuwa Chawa , sisi tuache tuendelee kupigania haki
mpiganie haki za wavivu sio, wasiojiamini, wasiopenda kufanya kazi na kujitegemea

kwanza watu wenyewe laini zaid ya maini hamna lolote mnajihangasha tyu...
 
Simiyu wametisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…